MTAJI WA SH.200,000 UNATOSHA KABISA KUKUFANYA UFANIKIWE!
Wengi ni waoga kuanza biashara kwasababu wana mitaji midogo sisi Mpango mzima tumejidhatiti kuhakikisha kwa mtaji wa sh.200,000 unaweza fanikiwa zaidi bofya JIFUNZE ZAIDI hapo chini ili ujifunze Zaidi karibu
SOMA HISTORIA YA KILA KIONGOZI HAPO CHINI KISHA CHAGUA UNAYEONA ATAWEZA KUWA KIONGOZI WAKO
Kutana na baadhi ya watu waliofanikiwa ndani ya programu yetu ya biashara ya Mpango mzima na wao pia walianza biashara kwa mtaji wa sh.200,000 hakikisha unasoma historia zao kwa makini kila mmoja na uchague atakayekufaa kukuongoza katika biashara. karibu
Dinest Marcus Maliva
Position: Diamond leader
Phone: 0788942292
Email: dinestmaliva@gmail.com
Categories: Car Awards, Top Leader, Top Seller, Top Sponsor, Travel Awards
Naitwa Dinest Marcus Maliva…nimama wa watoto wawili….Na pia nimejiajiri kupitia kampuni ya BFSUMA cheo changu ni Diamond Leader..
✍️Historia yangu nje ya BFSUMA/Kabla sijajoajiri na kampuni ya BFSUMA
Kama ilivo kwa kijana yoyote amalizapo masomo yake hamu yake nikupata ajira..Mimi pia baada ya kuhitimu masomo yangu niliaajiriwa na kufanya kazi kwa miaka kadhaa Ili kuweza kupata mahitaji yangu ya lazima
Lakini kwa sababu nilikuwa na ndoto kubwa kazi Ile haikuweza kukidhi mahitaji nandipo nilipokutana na kampuni ya BFSUMA na kuamua kujifunza na kuthubutu kuanza biashara hii
✍️Safari ya Mafanikio Ndani ya BFSUMA
Baada kuanza biashara BFSUMA nimeweza kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kama ifuatavyo
?Nimeweza kuwasaidia waitaji wengi sana wenye changamoto mbalimbali za Afya kitu kilichonipelekea kuwa best sales/muuzaji Bora kwa takribani miaka 6 mfululizo
?Nimeweza kutengeneza bonus kubwa kila mwezi…kupitia mauzo nayofanya Mimi na team yangu
?Nimeweza kushinda safari mbalimbali za kimataifa na kitaifa kama Kwenda Dubai..Ghana..Hongkong
?Nimeweza kujishindia gari mara mbili ndani ya kampuni ya BFSUMA
?Nimeweza kuwasaidia vijana wengi kupata fursa na kubadili maisha Yao kwakuamua kuthubutu na kuanza biashara hii…Nina team ya watu takribani 1500 ambayo wanafanya kazi ndani ya BFSUMA
✍️MALENGO
Malengo yangu nikuhakikisha vijana wengi wanapata taarifa sahihi kuhusu fursa ya BFSUMA nakuanza safari ya mafanikio kupitia biashara hii
Pia matarajio yangu nikutengeneza kipato kikubwa ndani ya biashara hii Ili niweze kutimiza ndoto zangu
Niko tayari kumsaidia yoyote ataeitaji kuanza biashara hii kwa muda wowote na mahali popote…
Mawasiliano..
Watsap and call:0788942292
Hassan Tanganyika
Position: SDL
Phone: +255712708221
Email: hansudom@yahoo.com
Categories: Car Awards, Fast Growing Champions, Top Leader, Top Seller, Top Sponsor, Travel Awards
Hassan :
Naitwa Hassan Tanganyika, Nawasaidia Vijana wa Kiafrika kumiliki Mfumo wa biashara utakaowaingizia milion na zaidi kila mwezi
Mpaka sasa nimewasaidi zaidi ya vijana 650 kuingiza kipato cha milion na zaidi kila mwezi
lengo ni ifikapo mpaka 2025 niwe nimewasaidia vijana zaidi ya 1,500 kuingiza kipato cha milion na zaidi kila mwezi.
karibu niwe mkufunzi wako nikushike mkono hatua kwa hatua uwe mmoja wa watu hawa 1,500!
Wasiliana nasi masaa 24
Waalimu na viongozi wetu wapo mda wote wasiliana nao na utapata huduma ya kuanza biashara mara moja.
Tunakusikiliza
Tunaamini kuwa kila mtu ana haki ya kufanikiwa hivyo tunakusikiliza kwanza unahitaji nini kisha tunatimiza unachokihitaji.
Tuna waalimu wenye uwezo mkubwa
Tunaamini kuwa ili uweze timiza ndoto zako ni lazima tuwe na watu ambao wanauwezo na wao wameweza fikia ndoto zao.
Kwanini ufanye kazi na sisi
Tunaamini kila mtu ana haki ya kufanikiwa
Tunaamini kila aliye Duniani anauwezomkubwa zaidi wa kufanikiwa kama akiamua na akipata kiongozi mzuri wa kumfundisha na kumsaidia kupata mafanikio na ndio maana tumewaleta walimu walio fanikiwa kwanza ili kupitia uzoefu wao katika mafanikio yao basi warithishe na kwako pia ili uweze fikia malengo yako.
Bofya Jifunze Zaidi Hapo chini Ili kupata uelewa Zaidi.