MTAJI WA SH.200,000 UNATOSHA KABISA KUKUFANYA UFANIKIWE!
Wengi ni waoga kuanza biashara kwasababu wana mitaji midogo sisi Mpango mzima tumejidhatiti kuhakikisha kwa mtaji wa sh.200,000 unaweza fanikiwa zaidi bofya JIFUNZE ZAIDI hapo chini ili ujifunze Zaidi karibu
SOMA HISTORIA YA KILA KIONGOZI HAPO CHINI KISHA CHAGUA UNAYEONA ATAWEZA KUWA KIONGOZI WAKO
Kutana na baadhi ya watu waliofanikiwa ndani ya programu yetu ya biashara ya Mpango mzima na wao pia walianza biashara kwa mtaji wa sh.200,000 hakikisha unasoma historia zao kwa makini kila mmoja na uchague atakayekufaa kukuongoza katika biashara. karibu
ELIA MLIMI
Kwa jina naitwa ELIA MLIMI nimemaliza elimu ya chuo mwaka 2021 BACHELOR DEGREE IN LOGISTICS AND TRANSPORT MANAGEMENT.
NINA NDOTO KUBWA.
Baada ya kumaliza chuo nilipitia wakati mgumu na sikujua nini cha kufanya ili kuniingizia kipato. Nilitafuta ajira bila mafanikio. Nikaamua kuanza kufanya kazi za kunyanyua mizigo viwandani na kulipwa kiasi kidogo cha pesa ili kuweza kumudu mahitaji yangu ya siku, pesa ambayo ilikuwa hiatoshi kukidhi matumizi ya siku ikiishia kwenye nauli na chakula. Nilishindwa kulipa kodi ikapelekea kuishi kwa marafiki. Kilikuwa ni kipindi kigumu sana katika maisha.
Mwaka 2021 nikaipokea fursa ya BFSUMA bila kujali elimu wala vyeti nilivyokuwa navyo.. nikaanza kufanya bishara hii na kampuni hii kubwa ya BFSUMA hapo ndio mwanga wa mafanikio katika maisha yangu ukaanza kuonekana. Kampuni hii imenipa uhuru wa ki uchumi na kuya tawala maisha yangu.. sasa naweza kuingiza kiasi cha tsh. 5000000+ kwa mwezi hivyo naweza kuendesha maisha yangu kwa uhuru naendelea piah kutimiza ndoto zangu kwa kuwa ndoto yangu haijaishia hapa.
nimewasaidia vijana wenzangu zaidi ya 200+ kujikomboa kiuchumi kupitia biashara hii.. nawasaidia wanachuo ,na walioko mtaani ambao hawajui ni biashara gani wafanye kuwapa mwangaza ili kujikomboa kiuchumi.
Ungana nami nitakufundisha na kukusimamia ili uweze kufanikiwa kiuchumi ahsante..
Hassan Tanganyika
Position: SDL
Phone: +255712708221
Email: hansudom@yahoo.com
Categories: Car Awards, Fast Growing Champions, Top Leader, Top Seller, Top Sponsor, Travel Awards
Hassan :
Naitwa Hassan Tanganyika, Nawasaidia Vijana wa Kiafrika kumiliki Mfumo wa biashara utakaowaingizia milion na zaidi kila mwezi
Mpaka sasa nimewasaidi zaidi ya vijana 650 kuingiza kipato cha milion na zaidi kila mwezi
lengo ni ifikapo mpaka 2025 niwe nimewasaidia vijana zaidi ya 1,500 kuingiza kipato cha milion na zaidi kila mwezi.
karibu niwe mkufunzi wako nikushike mkono hatua kwa hatua uwe mmoja wa watu hawa 1,500!
Wasiliana nasi masaa 24
Waalimu na viongozi wetu wapo mda wote wasiliana nao na utapata huduma ya kuanza biashara mara moja.
Tunakusikiliza
Tunaamini kuwa kila mtu ana haki ya kufanikiwa hivyo tunakusikiliza kwanza unahitaji nini kisha tunatimiza unachokihitaji.
Tuna waalimu wenye uwezo mkubwa
Tunaamini kuwa ili uweze timiza ndoto zako ni lazima tuwe na watu ambao wanauwezo na wao wameweza fikia ndoto zao.
Kwanini ufanye kazi na sisi
Tunaamini kila mtu ana haki ya kufanikiwa
Tunaamini kila aliye Duniani anauwezomkubwa zaidi wa kufanikiwa kama akiamua na akipata kiongozi mzuri wa kumfundisha na kumsaidia kupata mafanikio na ndio maana tumewaleta walimu walio fanikiwa kwanza ili kupitia uzoefu wao katika mafanikio yao basi warithishe na kwako pia ili uweze fikia malengo yako.
Bofya Jifunze Zaidi Hapo chini Ili kupata uelewa Zaidi.