MTAJI WA SH.200,000 UNATOSHA KABISA KUKUFANYA UFANIKIWE!
Wengi ni waoga kuanza biashara kwasababu wana mitaji midogo sisi Mpango mzima tumejidhatiti kuhakikisha kwa mtaji wa sh.200,000 unaweza fanikiwa zaidi bofya JIFUNZE ZAIDI hapo chini ili ujifunze Zaidi karibu
SOMA HISTORIA YA KILA KIONGOZI HAPO CHINI KISHA CHAGUA UNAYEONA ATAWEZA KUWA KIONGOZI WAKO
Kutana na baadhi ya watu waliofanikiwa ndani ya programu yetu ya biashara ya Mpango mzima na wao pia walianza biashara kwa mtaji wa sh.200,000 hakikisha unasoma historia zao kwa makini kila mmoja na uchague atakayekufaa kukuongoza katika biashara. karibu
Dinest Marcus Maliva
Position: Diamond leader
Phone: 0788942292
Email: dinestmaliva@gmail.com
Categories: Car Awards, Top Leader, Top Seller, Top Sponsor, Travel Awards
Naitwa Dinest Marcus Maliva…nimama wa watoto wawili….Na pia nimejiajiri kupitia kampuni ya BFSUMA cheo changu ni Diamond Leader..
✍️Historia yangu nje ya BFSUMA/Kabla sijajoajiri na kampuni ya BFSUMA
Kama ilivo kwa kijana yoyote amalizapo masomo yake hamu yake nikupata ajira..Mimi pia baada ya kuhitimu masomo yangu niliaajiriwa na kufanya kazi kwa miaka kadhaa Ili kuweza kupata mahitaji yangu ya lazima
Lakini kwa sababu nilikuwa na ndoto kubwa kazi Ile haikuweza kukidhi mahitaji nandipo nilipokutana na kampuni ya BFSUMA na kuamua kujifunza na kuthubutu kuanza biashara hii
✍️Safari ya Mafanikio Ndani ya BFSUMA
Baada kuanza biashara BFSUMA nimeweza kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kama ifuatavyo
?Nimeweza kuwasaidia waitaji wengi sana wenye changamoto mbalimbali za Afya kitu kilichonipelekea kuwa best sales/muuzaji Bora kwa takribani miaka 6 mfululizo
?Nimeweza kutengeneza bonus kubwa kila mwezi…kupitia mauzo nayofanya Mimi na team yangu
?Nimeweza kushinda safari mbalimbali za kimataifa na kitaifa kama Kwenda Dubai..Ghana..Hongkong
?Nimeweza kujishindia gari mara mbili ndani ya kampuni ya BFSUMA
?Nimeweza kuwasaidia vijana wengi kupata fursa na kubadili maisha Yao kwakuamua kuthubutu na kuanza biashara hii…Nina team ya watu takribani 1500 ambayo wanafanya kazi ndani ya BFSUMA
✍️MALENGO
Malengo yangu nikuhakikisha vijana wengi wanapata taarifa sahihi kuhusu fursa ya BFSUMA nakuanza safari ya mafanikio kupitia biashara hii
Pia matarajio yangu nikutengeneza kipato kikubwa ndani ya biashara hii Ili niweze kutimiza ndoto zangu
Niko tayari kumsaidia yoyote ataeitaji kuanza biashara hii kwa muda wowote na mahali popote…
Mawasiliano..
Watsap and call:0788942292
BEATRICE SAMSON MALLEMO
Position: QSDL
Phone: +255 654 136 777
Email: beatricemallemo380@gmail.com
Categories: Car Awards, Top Leader, Travel Awards
Kwa majina naitwa Beatrice Samson Mallemo, Elimu yangu ni mwanasheria.Nilijiunga na Bfsuma mwaka 2015 nikiwa mwaka wa pili chuoni,mpaka sasa jina miaka saba (7) ndani ya kampuni. Cheo changu ni QSDL nikiwa na maana ya ngazi ya kumi
Nimekua mshindi wa safar tatu za nje ya nchi na gari moja ndani ya kampuni lakini pia nina jiingizia kipato kizuri kila mwezi ndani ya kampuni kinachoniwezesha kukidhi mahitaji yangu na familia ýangu Nilichagua kuifanya kazi hii ya Bfsuma fulltime na nina ofisi kubwa dodoma
Ndoto yangu ni kuhakikisha namshika mkono kila aliye ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania mwenye ndoto ya mafanikio na kuhakikisha anatimiza malengo yake
Amina Mohamed Khamis
Position: Senior Diamond Leader
Phone: 0773731120
Email: emmyed25@yahoo.com
Categories: Car Awards, Top Leader
Mimi ni mwanachama hai wa Kampuni ya BF Suma ngazi ya 10 (SDL).
Ni mwajiriwa Serikalini, ni mke na ni mama wa watoto watatu.
Nimejiunga na Kampuni ya BF SUMA Mwezi June 2019 kwa ajili ya kupata bidhaa kwa bei ya punguzo, baada ya kuhangaika kwa muda mrefu kutafuta tiba ya changamoto ya kiafya ambayo nilikua ninakabiliana nayo bila ya upasuaji. Niligundulika nina uvimbe mkubwa katika kizazi (fibroid) wenye ukubwa wa cm 10, uvimbe ambao ulipelekea kuharibu mimba tatu, kupata hedhi isiyo na mpangilio na kupoteza damu nyingi kulikonisababishia upungufu wa damu na kuhatarisha kutolewa kizazi kwa njia ya upasuaji.
Kupitia bidhaa za Kampuni ya BF SUMA niliweza kumaliza kabisa tatizo langu ndani ya miezi mitatu tu. Baada ya hapo nikaamua kujikita moja kwa moja kutatua changamoto za kiafya kwa jamii inayonizunguka.
Hadi sasa nimeweza kuwafikia wahanga wengi wa matatizo mbalimbali ya kiafya ndani na nje ya Tanzania na wamefanikiwa kuondokana na changamoto zao za kiafya na kiuchumi.
MAFANIKIO NILIYOPATA KUPITIA MFUMO HUU:-
1) Kwa kuingia ubia na Kampuni hii na kuweza kutatua changamoto yangu ya kiafya na changamoto za wengine Nilifanikiwa kuingiza kipato cha ziada nje ya ajira yangu cha zaidi ya Miliomi Moja kwa mwezi. Na hadi sasa nimekua ni miongoni mwa wanaopokea kipato kikubwa (Bonus) kupitia mfumo huu wa kibiashara
2) Nimeweza kushirikisha wengi katika fursa hii ya kibiashara na kuwashika mkono kufikia malengo yao ya kuweza kujiajiri na kujipatia kipato cha kuanzia 500,000 kwa mwezi na zaidi.
3) Chini ya uongozi wa Team yangu THE EAGLES, nimefanikiwa kutoa washindi wawili wa Safari ya Dubai na Washindi wawili wa magari yenye thamani ya Milioni 28.
4) Nimefanikiwa kufungua ofisi nzuri inayojitegemea ambayo imeweza kutoa ajira kwa wengine, na inayotumika kwa ajili ya kutoa mafunzo maalum ya ujasiriamili kwa wanaojiunga na mfumo wetu
6) Kupitia mfumo huu wa Kibiashara katika Kampuni ya BF SUMA tayari nimekua miongoni mwa walioshinda Gari (Car Awardee) kwa mwaka 2022 lenye thamani ya $12500 sawa na TZS28750000
Je umependezwa na mfumo wetu wa Kibiashara ambao utaweza kukusaidia kutatua changamoto za kiafya kwako na kwa jamii inayokuzunguka na kukuingizia kipato cha uhakika na endelevu? Kama jibu ni ndio wasiliana nami kupitia simu namba 0773731120
SHUKRAN
Amosi Mwita
Position: SENIOR LEADER
Phone: 0712 126 127
Email: amosijulius@gmail.com
Categories: Car Awards, Top Leader, Travel Awards
Naitwa Amosi Mwita, Ni mshindi WA gari pamoja na safari mbili ndani ya Kampuni ya BF SUMA, Nafundisha Watu Kuanzisha Biashara Kwa mtaji mdogo na Kwa Muda Wa Ziada, bila kuathiri shughuli zako za kila siku. Nimtafurahi kwakua nimewasaidia watu wengi Sana kubadilisha maisha ya kiuchumi pia na kipato… Karibu sana ujifunze zaidi kutoka kwangu.
RIZIKI ALMAS
Position: Senior Diamond leader
Phone: +255656357443
Email: riziki.almas89@gmail.com
Categories: Car Awards, Top Leader, Travel Awards
SAFARI YANGU YA MAFANIKIO NDANI YA KAMPUNI YA BFSUMA.
Naitwa Riziki Almas, ni mama wa watoto wawili, nimemaliza chuo kikuu Cha dar es salaam mwaka 2014, na sikufanikiwa kupata ajira,hivyo nilijiari na kufungua ofisi ya ushonanji nguo, kutokana na changamoto za biashara ( Kodi, ujuzi, rasiliamali watu) nilishindwa kuendelea na kufunga ofisi yangu ya ushonaji , na ndio nilipokutana na fursa hii ya biashara ( BFSUMA) kupitia rafiki yangu nilosoma naye chuo Iman mosses Mwasaka, Kwa Sasa ni mjasiriamali mkubwa kupitia kampuni ya BFSUMA niliyeanza safari yangu ya mafanikio mnamo 29/01/2016 na ninashukuru Mungu Kwa kuwa imenisaidia kutimiza ndoto zangu nilizokua naona siwezi kutimiza kabla sijaanza biashara.
Ndoto kubwa nilonayo ndio ilikuwa chachu ya kuchagua kampuni ya BFSUMA. ndoto yangu ni kuwasaidia watu zaidi ya 1000 kutimiza ndoto zao na kuziishi mpaka 2025 hii ndoto itakuwa imetimia na Pili kuwa na kampuni ya uwekezaji wa makazi na viwanja( real estate) mpaka mwezi 12/2026 ndoto yangu hii itakuwa imetimia.
MAFANIKIO NILOPATA MPAKA SASA 2022
SAFARI
Nimefanikiwa kupata tuzo za safari ndani ya bara la afrika na Asia ( intercontinental travel awards) na safari za kimataifa (international travel awards) mpaka sasa nimeweza kwenda nchi 4 ikiwepo Thailand,Hongkong, south Africa, Kenya.
GARI
Nimefanikiwa kushinda tuzo ya Gari( Normal car award) 2022 aina ya Audi A4 yenye thamani ya Dola 12,500 za kimarekani na nimeweza.
BONUS KUBWA
Nimefanikiwa kuwa miongoni mwa watu wanaopokea Malipo makubwa( bonus) kubwa ndani ya kampuni yaani ni miongoni wa kumi Bora wanaopokea bonus kubwa ndani ya Tanzania.
HARAKATI ZA WANAWAKE(AMBITIOUS WOMEN)
Nimefanikiwa kuanzisha harakati za wanawake walioamua kupambania NDOTO zao, tunakusaidia kutambua uwezo/nguvu ulionao kiasili katika kujenga JAMII yenye mafanikio makubwa bila kutelekeza NDOTO zako. Kama wewe ni mpenda harakati hizi ungana nami kwenye kurejesha furaha na uwezo wa Mwanamke.
TIMU KUBWA ( BRIGHTER TEAM)
Nimefanikiwa kujenga biashara yangu kubwa Tanzania bara na visiwani na imenisaidia kuwafikia vijana,wazee na watanzania wengi wenye njaa ya Mafanikio bila kujali elimu zao, historia zao,ujuzi wao Hivyo hata wewe unayesoma hii waweza jiunga Kwa timu yangu ili ufikie “NDOTO YAKO KUBWA ULOTELEKEZA.”
Mimi nakwambia inawezekana kunyanyuka Tena na KUPIGANIA NDOTO yako.
Hassan Tanganyika
Position: SDL
Phone: +255712708221
Email: hansudom@yahoo.com
Categories: Car Awards, Fast Growing Champions, Top Leader, Top Seller, Top Sponsor, Travel Awards
Hassan :
Naitwa Hassan Tanganyika, Nawasaidia Vijana wa Kiafrika kumiliki Mfumo wa biashara utakaowaingizia milion na zaidi kila mwezi
Mpaka sasa nimewasaidi zaidi ya vijana 650 kuingiza kipato cha milion na zaidi kila mwezi
lengo ni ifikapo mpaka 2025 niwe nimewasaidia vijana zaidi ya 1,500 kuingiza kipato cha milion na zaidi kila mwezi.
karibu niwe mkufunzi wako nikushike mkono hatua kwa hatua uwe mmoja wa watu hawa 1,500!
Happiness Bwana Kashumba
Position: Senior Diamond leader
Phone: 255764176261
Email: happybwana@gmail.com
Categories: Car Awards, Top Leader, Travel Awards
Naitwa Happiness Bwana Kashumba .Balozi wa Kampuni ya Bfsuma..nimama wa watoto wawili..ni mke pia
✍️Elimu
Muhitimu shahada ya Ualimu kutoka chuo kikuu cha Dar es salam
Taaluma
✍️Kwa taaluma ni mwalimu
✍️Kazi niifanyayo sasa
Kwa sasa nimejiajiri kupitia kampuni ya Afya BFSUMA kampuni ambayo imeweza kubadili maisha yangu kwa kiasi kikubwa na kwasasa natambulika kama kiongozi ngazi ya 10 au Senior Diamond leader ngazi ambayo Iko ndani ya ngazi 12 katika kampuni ya BFSUMA
✍️Mfanikio Ndani ya Kampuni ya BFSUMA
Nikiwa na miaka kadhaa Toka nifanye maamuzi ya kujiajiri..nimeweza kufanikiwa baadhi ya ndoto zangu kama ifuatavyo
🛶Mshindi wa Safari mwaka 2019 ..2021
Kupitia Kampuni ya Bfsuma nimeweza kushinda safari za kimataifa kwa ajili ya kwenda kujifukiza mambo mapya na pia kutalii
🚗Mshindi wa Gari mwaka 2020.
👠Pia biashara hii imeweza kunipa nafasi yakukuza kipato changu ambapo Mimi kama mwanamke nimeweza kujitimizia mahitaji yangu muhimu huku nikiendelea kutimiza ndoto zangu
👭 nimeweza pia kuwasaidia watu mbalimbali nao pia kuweza kujenga biashara na takribani watu 2000 wananufaika na kampuni kupitia Mimi kuwapa taarifa juu ya biashara hii
🏋️Malengo
.Malengo yangu nikuhakikisha nawasaidia Watanzania wengi na wasio Watanzania kuweza kubadili maisha Yao kupitia kampuni hii ya BFSUMA
.kutengeneza biashara kubwa itayonilipa Mimi na kizazi changu
Naifurahia biashara yangu sababu inanipa nafasi yakusaidia waitaji wengi wenye changamoto za Afya..lakin kuwasaidia vijana kupata fursa ya biashara….
Kupitia fursa hii nimeweza kubadili maisha yangu kimtazamo na kiuchumi pia.
Nawakaribisha tuzungumze pamoja
Karibu nikupe mafunzo jinsi ambavyo utaweza kubadili maisha yako kupitia kampuni ya BFSUMA…
Mawasiliano: Calls:0764176261
Watsap:0764176261
Au bonyesa link hii kunipata Moja kwa moja
Message Happiness Kashumba on WhatsApp. https://wa.me/message/UYKULKMIT5JOD1
Wasiliana nasi masaa 24
Waalimu na viongozi wetu wapo mda wote wasiliana nao na utapata huduma ya kuanza biashara mara moja.
Tunakusikiliza
Tunaamini kuwa kila mtu ana haki ya kufanikiwa hivyo tunakusikiliza kwanza unahitaji nini kisha tunatimiza unachokihitaji.
Tuna waalimu wenye uwezo mkubwa
Tunaamini kuwa ili uweze timiza ndoto zako ni lazima tuwe na watu ambao wanauwezo na wao wameweza fikia ndoto zao.
Kwanini ufanye kazi na sisi
Tunaamini kila mtu ana haki ya kufanikiwa
Tunaamini kila aliye Duniani anauwezomkubwa zaidi wa kufanikiwa kama akiamua na akipata kiongozi mzuri wa kumfundisha na kumsaidia kupata mafanikio na ndio maana tumewaleta walimu walio fanikiwa kwanza ili kupitia uzoefu wao katika mafanikio yao basi warithishe na kwako pia ili uweze fikia malengo yako.
Bofya Jifunze Zaidi Hapo chini Ili kupata uelewa Zaidi.