MTAJI WA SH.200,000 UNATOSHA KABISA KUKUFANYA UFANIKIWE!

Wengi ni waoga kuanza biashara kwasababu wana mitaji midogo sisi Mpango mzima tumejidhatiti kuhakikisha kwa mtaji wa sh.200,000 unaweza fanikiwa zaidi bofya JIFUNZE ZAIDI hapo chini ili ujifunze Zaidi karibu

SOMA HISTORIA YA KILA KIONGOZI HAPO CHINI KISHA CHAGUA UNAYEONA ATAWEZA KUWA KIONGOZI WAKO

Kutana na baadhi ya watu waliofanikiwa ndani ya programu yetu ya biashara ya Mpango mzima na wao pia walianza biashara kwa mtaji wa sh.200,000 hakikisha  unasoma historia zao kwa makini kila mmoja na uchague atakayekufaa kukuongoza katika biashara.  karibu

DORIS MUSHI

Position: LEADER
Phone: 0754 600 379
Categories: Top Seller

Naitwa DORIS MUSHI ni binti, mbeba maono wa THE WINNERS TEAM nimemaliza chuo mwaka2018 nikiwa natafuta ajira bila mafanikio nikakutana na fursa mwaka 2019 ambayo imekuwa mkombozi wangu na imenipa Mwanga wa ndoto zangu.

Kabla ya kupokea huu mfumo wa biashara nilipita vipindi vigumu, hasa katika upatikanaji wa ajira nimewahi kuomba kibarua cha kumwagia maua maji,nilifanya biashara ndogo ndogo nikajipatia kiasi kidogo cha fedha Ambacho kilikuwa hakikidhi kabisa Gharama za maisha kama chakula, kodi na Tumaini la kutimiza ndoto zangu lilipotea kabisa mpaka nilipokutana na hii fursa

MAFANIKIO YANGU NDANI YA BIASHARA YANGU.
tangu nilipokutana na fursa hii nimeweza kujisimamia kama binti. kubadilisha maisha yangu na Watu wengine.

➖mpaka Sasa nimeweza kusaidia vijana zaidi ya 150 Tanzania Bara na visiwani, Kujiingizia kipato cha wastani wa 500,000 kila mwezi.

➖Ninajiingizia kipato zaidi ya 2.5 M kwa mwezi Hivyo naweza kumudu Gharama za maisha ambazo Sikuweza kabla ya biashara.

➖Nimeweza kusafiri sehemu mbalimbali ndani ya nchi na nje ya nchi, nimekwenda kenya south Africa kupitia hii biashara.

➖Nimefanikiwa kusaidia familia yangu ikiwemo kumsomesha mdogo wangu kwenye shule nzuri.

➖Nimeweza kubadili mtizamo wangu na watu wengine kuhusu mafanikio.

Karibu tujenge kesho yetu pamoja nipo tayari kukushika mkono nipigie kwa 0754 600 379.

Asante

DORIS MUSHI

LEADER

Naitwa DORIS MUSHI ni binti, mbeba maono wa THE WINNERS...

ABDALLAH RAMADHAN MSUKA

Position: LEADER
Phone: 0716572595
Email: abdallahmsuka@gmail.com
Categories: Top Seller

Naitwa ABDALLAH RAMADHAN MSUKA sikufanikiwa kusoma Sana ELIMU ngazi za juu na badala yake kuwa fundi ujenzi

NINA NDOTO KUBWA SANA NA LAZIMA ITIMIE

Kutokana na ugumu wa maisha ilinilazimu kujifunza ufundi selemara (carpenter) mtaani na sio chuo. Nilikuwa nikipata mapato madogo lakini sikuwa na namna ndipo mwaka 2018 nikaajiriwa na kampuni ya YAPI MERKEZI ( wakandalasi wa ujenzi wa reli ya umeme) katika position ya carpenter.

Mwaka 2022 ndipo nikakutana na fursa ya BF SUMA katika ukurasa wangu wa Instagram nikaamua kufanya baada ya kuambiwa ni biashara itakayonibadilishia maisha yangu…


Nikaanza kufanya kazi na hapo ndipo nikaanza kuona mwangaza wa maisha yangu kwani nikawa na uwezo wa kuingiza kiasi Cha sh. 800,000 kila wiki ambapo kwa mwezi naingiza zaidi ya 3,200,000/= na hii ikanipelekea kuwa king wa mauzo kwa mwaka 2023 na kushika nafasi ya 6 Tanzania kwamauzo kupitia BF SUMA nimearchive mambo mengi Sana ambayo sikuwa na uwezo nayo huko nyuma bila kujali ELIMU yangu.

Nimewasaidia vijana wenzangu zaidi ya 300+ kujikwamua kiuchumi kupitia biashara hii.
Nimesaidia waajiriwa, watu wasio ELIMU ngazi za juu, wanachuo na walipo mtaani ambao hawajui Nini Cha kufanya…

Wito wangu kwako ungana nami kwenye kwenda kutimiza ndoto zako kupitia biashara hii.. Nipigie kwa 0716572595.

Karibu

ABDALLAH RAMADHAN MSUKA

LEADER

Naitwa ABDALLAH RAMADHAN MSUKA sikufanikiwa kusoma Sana ELIMU ngazi za...

ELIA MLIMI

Position: Top Leader
Phone: 0711598973
Categories: Fast Growing Champions, Top Leader, Top Seller

Kwa jina naitwa ELIA MLIMI  nimemaliza elimu ya chuo mwaka 2021 BACHELOR DEGREE IN LOGISTICS AND TRANSPORT MANAGEMENT.

NINA NDOTO KUBWA.

Baada ya kumaliza chuo nilipitia wakati mgumu na sikujua nini cha kufanya ili kuniingizia kipato. Nilitafuta ajira bila mafanikio. Nikaamua kuanza kufanya kazi za kunyanyua mizigo  viwandani na kulipwa kiasi kidogo cha pesa ili kuweza kumudu mahitaji yangu ya siku, pesa ambayo ilikuwa hiatoshi kukidhi matumizi ya siku ikiishia kwenye nauli na chakula. Nilishindwa kulipa kodi ikapelekea kuishi kwa marafiki. Kilikuwa ni kipindi kigumu sana katika maisha.

Mwaka 2021 nikaipokea fursa ya BFSUMA bila kujali elimu wala vyeti nilivyokuwa navyo.. nikaanza kufanya bishara hii na kampuni hii kubwa ya BFSUMA  hapo ndio mwanga wa mafanikio katika maisha yangu ukaanza kuonekana. Kampuni hii imenipa uhuru wa ki uchumi na kuya tawala maisha yangu..  sasa naweza kuingiza kiasi cha tsh. 5000000+  kwa mwezi hivyo naweza kuendesha maisha yangu kwa uhuru naendelea piah kutimiza ndoto zangu kwa kuwa  ndoto yangu haijaishia hapa.

nimewasaidia vijana wenzangu  zaidi ya 200+ kujikomboa kiuchumi kupitia biashara hii.. nawasaidia wanachuo ,na walioko mtaani ambao hawajui ni biashara gani wafanye kuwapa mwangaza ili kujikomboa kiuchumi.

Ungana nami nitakufundisha na kukusimamia ili uweze kufanikiwa kiuchumi ahsante..

ELIA MLIMI

Top Leader

Kwa jina naitwa ELIA MLIMI  nimemaliza elimu ya chuo mwaka...

Dinest Marcus Maliva

Position: Diamond leader
Phone: 0788942292
Email: dinestmaliva@gmail.com
Categories: Car Awards, Top Leader, Top Seller, Top Sponsor, Travel Awards


Naitwa Dinest Marcus Maliva…nimama wa watoto wawili….Na pia nimejiajiri kupitia kampuni ya BFSUMA cheo changu ni Diamond Leader..

✍️Historia yangu nje ya BFSUMA/Kabla sijajoajiri na kampuni ya BFSUMA

Kama ilivo kwa kijana yoyote amalizapo masomo yake hamu yake  nikupata ajira..Mimi pia baada ya kuhitimu masomo yangu niliaajiriwa na kufanya kazi kwa miaka kadhaa Ili kuweza kupata mahitaji yangu ya lazima

Lakini kwa sababu nilikuwa na ndoto kubwa kazi Ile haikuweza kukidhi mahitaji nandipo nilipokutana na kampuni ya BFSUMA na kuamua kujifunza na kuthubutu kuanza biashara hii

✍️Safari ya Mafanikio Ndani ya BFSUMA

Baada kuanza biashara BFSUMA nimeweza kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kama ifuatavyo

?Nimeweza kuwasaidia waitaji wengi sana wenye changamoto mbalimbali za Afya kitu kilichonipelekea kuwa best sales/muuzaji Bora kwa takribani miaka 6 mfululizo

?Nimeweza kutengeneza bonus kubwa kila mwezi…kupitia mauzo nayofanya Mimi na team yangu

?Nimeweza kushinda safari mbalimbali za kimataifa na kitaifa kama Kwenda Dubai..Ghana..Hongkong

?Nimeweza kujishindia gari mara mbili ndani ya kampuni ya BFSUMA

?Nimeweza kuwasaidia vijana wengi kupata fursa na kubadili maisha Yao kwakuamua kuthubutu na kuanza biashara hii…Nina team ya watu takribani 1500 ambayo wanafanya kazi ndani ya BFSUMA

✍️MALENGO

Malengo yangu nikuhakikisha vijana wengi wanapata taarifa sahihi kuhusu fursa ya BFSUMA  nakuanza safari ya mafanikio kupitia biashara hii

Pia matarajio yangu nikutengeneza kipato kikubwa ndani ya biashara hii Ili niweze kutimiza ndoto zangu

Niko tayari kumsaidia yoyote ataeitaji kuanza biashara hii kwa muda wowote na mahali popote…

Mawasiliano..

Watsap and call:0788942292

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Dinest Marcus Maliva

Diamond leader

Naitwa Dinest Marcus Maliva…nimama wa watoto wawili….Na pia nimejiajiri kupitia...

Wasiliana nasi masaa 24

Waalimu na viongozi wetu wapo mda wote wasiliana nao na utapata huduma ya kuanza biashara mara moja.

Tunakusikiliza

Tunaamini kuwa kila mtu ana haki ya kufanikiwa hivyo tunakusikiliza kwanza unahitaji nini kisha tunatimiza unachokihitaji.

Tuna waalimu wenye uwezo mkubwa

Tunaamini kuwa ili uweze timiza ndoto zako ni lazima tuwe na watu ambao wanauwezo na wao wameweza fikia ndoto zao.

Kwanini ufanye kazi na sisi

Tunaamini kila mtu ana haki ya kufanikiwa

Tunaamini kila aliye Duniani anauwezomkubwa zaidi wa kufanikiwa kama akiamua na akipata kiongozi mzuri wa kumfundisha na kumsaidia kupata mafanikio na ndio maana tumewaleta walimu walio  fanikiwa kwanza ili kupitia uzoefu wao katika mafanikio yao basi warithishe na kwako pia ili uweze fikia malengo yako. 

Bofya Jifunze Zaidi Hapo chini Ili kupata uelewa Zaidi.  

Matangazo na Blog

© 2024 MPANGO MZIMA. All Rights Reserved