YEAR: 2022

FLORA SOCHIUS MUKOYI

Position: Senior Diamond Leader
Phone: +255766978388
Email: fsochius@gmail.com
Categories: Top Leader

Naitwa FLORA SOCHIUS MUKOYI wengi huniita Madam Boss ni Mwanachama wa BF SUMA, nipo ngazi ya kumi Senior Diamond Leader (SDL), nimebakiza ngazi mbili kumaliza mpango Masoko wa Kampuni. Ni Mshindi wa Tuzo za Safari Miaka Mitatu Mfululizo Na Pia Ni Mshindi Wa Tuzo Ya  Gari la Mpango Masoko wa Kampuni BMW X5.

Chini yangu Nina watu zaidi ya elfu 2500 na ninafuraha kuwaongoza na kuwaonyesha njian ya mafanikio. Tayari nimeweza wasaidi wengi kujikwamua kimaisha na kufikia NDOTO zao. Ndani ya team ninayoiongoza nimesha zalisha viongozi wengi walioshimda safari na MAGARI pia na wengi wanaingiza KIPATO Chao endelevu.

Karibu uungane NAMI kwenye safari ya mafanikio yako. Niko tayari kukushika mkono 0766978388.

FLORA SOCHIUS MUKOYI

Senior Diamond Leader

Naitwa FLORA SOCHIUS MUKOYI wengi huniita Madam Boss ni Mwanachama…

EVA NICODEMAS MTEKELE

Position: Leader
Phone: +255754025560
Email: evadicodemas@gmail.com
Categories: Top Leader

Kwa jina naitwa Eva Nicodemas Mtekele, ni kiongozi  ngazi ya 7 katika kampuni ya BF SUMA.

Katika kuzifikia ndoto, kila mmoja ana story yake, ndefu na nyingine huwa hazina mwisho.

Kwa ufupi, yangu inaanzia nilipotamani kuziishi ndoto zangu za kutoa huduma ya afya na kuwa na mafanikio makubwa.

Kwa wakati ule, haikuonekana wazi sana..njia ilikuwa na vumbi la majukumu na upepo wa presha za kuwa mama wa vijana watatu. Ashukuriwe Mungu baada ya kujiunga na kampuni ya BF SUMA, nimeanza kuona mwanga wa mafanikio si tu kwa kutoa huduma tu, bali pia kwa kugusa maisha ya  watu kiuchumi na kwa kila mmoja anayepona kutokana na bidhaa na maelekezo sahihi ninayoyatoa kupitia Eva Health Service, chini ya BF SUMA

EVA NICODEMAS MTEKELE

Leader

Kwa jina naitwa Eva Nicodemas Mtekele, ni kiongozi  ngazi ya…

Hadija Shabani Sige

Position: LEADER
Phone: +255687355391
Email: smilecharity30@gmail.com
Categories: Top Leader

Kwa majina naitwa hadija shabani sige nikiongozi katika Kampuni ya Bfsuma  Kupitia bfsuma nimeweza kutimiza malengo ambaye yalikua ndani  ya ndoto zangu ,Nimefanikiwa kushinda tuzo za safar miaka miwili mfululizo (2021,2022) ,lakini pia nimefanikiwa kununua kiwanja kupitia kampuni ya BFSUMA.

Hadija Shabani Sige

LEADER

Kwa majina naitwa hadija shabani sige nikiongozi katika Kampuni ya…

Paul Maulidi Mtasha

Position: Leader and Trainer
Phone: 0785247665
Categories: New Rank Archievers, Top Leader, Travel Awards


Ninaitwa paul Maulidi mtasha, ni mhitimu wa chuo kikuu cha Dodoma mwaka 2019. Pia nilikuwa ni rais wa serikali ya Wanafunzi Ndaki ya Insia na sayansi za jamii katika chuo kikuu cha Dodoma, nikiwa chuo katika mwaka wangu wa tatu ndipo nilipokutana na fursa hii ya biashara.
Na kuamua kuanza biashara hii nikijua fika kwamba mtaani ajira hakuna.
Katika kipindi ambacho nimefanya kazi na team ya mpango mzima nimeweza kutengeneza mfumo ambao unatusaidia mimi na Vijana wenzangu kuweza kujikwamua kiuchumi.

Kwani, kampuni ya bfsuma tunayofanya nayo kazi katika mfumo huu wa biashara inatuwezesha kupata Faida za reja reja tunapouza bidhaa, inatuwezesha kupata bonus kila mwezi, vile vile KAMPUNI inatoa tuzo Kama vile safari za kimataifa (intercontinental travel award) yenye thamani ya dollar 2000 Sawa na tsh 4600000/= (Million nne na laki sita ) kila mwaka.

Tuzo ndani ya kampuni ya BFSUMA.

Mwaka 2022 nimeweza kushinda tuzo ya kusafiri kimataifa bila kutoa hata pesa kidogo. Vile vile Nina amini nitashinda Gari mwaka 2023.

Nimejithatiti kuwasaidia Vijana zaidi ya 600 kuweza Kuingiza pesa tsh million Moja na zaidi kila mwezi.

Wewe unayesoma ujumbe huu unaweza kuwa miongoni mwao ninamshukuru Mungu kwa ajili yako kwa kukutanisha na fursa hii Amua sasa, Mimi nitakushika Mkono kuanzia hatua ya kwanza kabisa mpaka ufanikiwe ahsante sana nipigie simu 0785 247 665.


 

Paul Maulidi Mtasha

Leader and Trainer

Ninaitwa paul Maulidi mtasha, ni mhitimu wa chuo kikuu cha…

Omar Hamad Omar

Position: Leader and Trainer
Phone: 0774768320
Categories: Top Leader, Travel Awards

Iam Bussiness man of network marketing And now I have many beneficial in a few time and I proud to be in network marketing and all my life depend on it so es to live with economic freedom

Iam the

Omar Hamad Omar

Leader and Trainer

Iam Bussiness man of network marketing And now I have…

FRANCE EDWIN MINGA

Position: Leader and Trainer
Phone: 0764047915
Categories: Top Leader, Travel Awards

Namna BF SUMA Ilivyo ninufaisha Kwa Kipindi Kifupi……

Nimeanza rasmi Kufanya kazi na kampuni ya BF SUMA tangu mwezi wa kwanza 2019

Fursa hii niliijua kabla ya mwaka 2019 nakumbuka ilikuwa 2016 ambapo niliifahamu hii kampuni

Mawazo yangu yalikuwa kama yako uliyonayo pengine ,, niliamini katika ajira na kazi zingine

Mwisho wa siku nimekuja kuelewa kuwa mawazo yangu yalikuwa sio sahihi sana

Nakumbuka baada ya kumaliza chuo tuu nilijitafitia kiajira katika taasisi moja inamiliki shule

Nikafanya kazi Kwa miaka 3 bila kutimiza malengo yangu hata madogo

Kwanini ?

Msharaha ulikuwa mdogo sana na ulikuwa inatosha kula tuu

Sasa basi BF SUMA ilinitoa huko kwenye Mateso na stress hizo

Nilipoanza BF SUMA 2019 mwezi wa kwanza nilifanikiwa kuendelea na kazi  na kipato changu kufikia mwezi wa 10 …

..kilikuwa ni mara sita zaidi ya mshahara ule katika ile taasisi

Ilipofikia 2020 nikafanikiwa kumjengea mama yangu nyumba kama lengo mhimu na awali kwangu

2021 nikafanikiwa kujenga nyumba yangu pia

Na ilipofika 2021 mwishoni nikafanikiwa kufudhu safari kwenda DUBAI kupumzika na kampuni inalipia kila kitu safari inayogharimu zaidi ya 4,600,000

Ambapo safari hii ilipangwa mwezi wa kumi mwaka 2022

Kizuri zaidi ni kwamba 2022 nimefudhu tena safari Nyingine haziwezi unganishwa Kwa pamoja hii itakuwa ya 2023

Na sasa 2022 naendelea na mapambano yatakayoniwezesha kutunukiwa gari na kuongeza kipato changu Cha mwezi zaidi

Na wewe Unaweza kutimiza malengo yako Kwa muda mfupi endapo utatenga muda wako wa siku chache kujifunza

Unaweza kunitafuta Kwa namba hii (+255764047915 )

FRANCE EDWIN MINGA

Leader and Trainer

Namna BF SUMA Ilivyo ninufaisha Kwa Kipindi Kifupi…… Nimeanza rasmi…

FAKIH KOMBO FAKI

Position: Leader and Trainer
Phone: 0620225973
Email: fakiko21@yahoo.com
Categories: Top Leader

Mr. Fakih K. Faki ni Mshauri wa Afya na Mkufunzi rasmi wa BF SUMA.  Kupitia BF SUMA nimeweza kubadilisha Maisha yangu kwa kupata faida mbali mbali ndani ya kampuni hii. Nimeweza kuzawadiwa na kushiriki katika CAMP zinazoandaliwa na Kampuni ndani ya Tanzania na muda wowote kuanzia sasa natarajia kujishindia Safari ya nje ya Nchi.

Watu weni wamekuwa akisumbuka na kusikitika kwa kukosa ajira, ama wenye ajira wanalia na uhaba wa kipato lakini baya zaidi kusumbuka na maradhi yanayopelekea kuwa na Afya duni inayosababishwa na kukosa Mlo kamili (lishe bora). Ukosefu wa Mlo kamili hupelekea mwili kukosa virutubisho muhimu na hivyo kupata changamoto za kiafya.

Tumekuwa tukiwafundisha vijana wengi namna bora na rahisi ya kuondokana na tatizo la ajira, sambamba na kuongeza kipato kwa wale wenye ajira bila ya kusahau kuwashauri njia bora ya kuimarisha Afya zao kwani Afya njema ndio mtaji. Na wewe hujachelewa karibu nkukushari ili na wewe baada ya mafunzo uwe ni miongoni watu wanajitegemea na kuwasaidia wengine. +255620 225 973 au Instagram (balozidr).

FAKIH KOMBO FAKI

Leader and Trainer

Mr. Fakih K. Faki ni Mshauri wa Afya na Mkufunzi…

Peter Mwasaka

Position: Leader and Trainer
Phone: 0764 630 629
Categories: Top Leader, Travel Awards

Naitwa PETER FERICK MWASAKA, Ni Mwanachama wa Kampuni Ya BFSUMA Ngazi Ya Uongozi Mwandamizi ( QUALIFIED SENIOR LEADER), Ni Mwanachama Pekee Ndani Ya Kampuni Nilieweza Kushinda TUZO Ya Safari( DUBAI 2022) Kwa Muda Wa Miezi 7 tu, Piah Nategemea Kupata Tuzo Ya Gari Ya NDOTO yangu Ndani Ya Muda Mfupi Ujao..

Ndani Ya Team Yangu Ninao watu Wengi Wa Rika Zote Zaidi ya 500 Ambao nawaongoza na kuwafundisha, Na Wanajiingizia KIPATO Kila SIKU, Kila MWEZI Na kuendesha Maisha Yao Kupitia FURSA Hii Adimu, Na Hii Ndio Furaha Yangu Kuona Watu Ninaowaongoza Wanaendesha Maisha Yao Bila Shida,

Karibu Uungane Na Mimi Nitakufundisha Na Kukushika Mkono Mpaka Uweze Kufikia Kilele Cha Mafanikio,

Call/ Watsap 0764 630 629

*Mafanikio Yako Ndio Furaha Yangu*

Peter Mwasaka

Leader and Trainer

Naitwa PETER FERICK MWASAKA, Ni Mwanachama wa Kampuni Ya BFSUMA…

Happiness Bwana Kashumba

Position: Senior Diamond leader
Phone: 255764176261
Email: happybwana@gmail.com
Categories: Car Awards, Top Leader, Travel Awards

Naitwa Happiness Bwana Kashumba .Balozi wa Kampuni ya Bfsuma..nimama wa watoto wawili..ni mke pia

✍️Elimu
Muhitimu shahada ya Ualimu kutoka chuo kikuu cha Dar es salam

 

Taaluma
✍️Kwa taaluma ni mwalimu

Mwalimu Happiness vs Leader Happiness

 

 

✍️Kazi niifanyayo sasa
Kwa sasa nimejiajiri kupitia kampuni ya Afya BFSUMA kampuni ambayo imeweza kubadili maisha yangu kwa kiasi kikubwa na kwasasa natambulika kama kiongozi ngazi ya 10 au Senior Diamond leader ngazi ambayo Iko ndani ya ngazi 12 katika kampuni ya BFSUMA

 

✍️Mfanikio Ndani ya Kampuni ya BFSUMA
Nikiwa na miaka kadhaa Toka nifanye maamuzi ya kujiajiri..nimeweza kufanikiwa baadhi ya ndoto zangu kama ifuatavyo

🛶Mshindi wa Safari mwaka 2019 ..2021

Kupitia Kampuni ya Bfsuma nimeweza kushinda safari za kimataifa kwa ajili ya kwenda kujifukiza mambo mapya na pia kutalii




 

🚗Mshindi wa Gari mwaka 2020.

 

👠Pia biashara hii imeweza kunipa nafasi yakukuza kipato changu ambapo Mimi kama mwanamke nimeweza kujitimizia mahitaji yangu muhimu huku nikiendelea kutimiza ndoto zangu

👭 nimeweza pia kuwasaidia watu mbalimbali nao pia kuweza kujenga biashara na takribani watu 2000 wananufaika na kampuni kupitia Mimi kuwapa taarifa juu ya biashara hii

🏋️Malengo
.Malengo yangu nikuhakikisha nawasaidia Watanzania wengi na wasio Watanzania kuweza kubadili maisha Yao kupitia kampuni hii ya BFSUMA

.kutengeneza biashara kubwa itayonilipa Mimi na kizazi changu

Naifurahia biashara yangu sababu inanipa nafasi yakusaidia waitaji wengi wenye changamoto za Afya..lakin kuwasaidia vijana kupata fursa ya biashara….
Kupitia fursa hii nimeweza kubadili maisha yangu kimtazamo na kiuchumi pia.
Nawakaribisha tuzungumze pamoja

Karibu nikupe mafunzo jinsi ambavyo utaweza kubadili maisha yako kupitia kampuni ya BFSUMA…

Mawasiliano: Calls:0764176261

Watsap:0764176261

Au bonyesa link hii kunipata Moja kwa moja

Message Happiness Kashumba on WhatsApp. https://wa.me/message/UYKULKMIT5JOD1

 

 

 

 

 

 

Happiness Bwana Kashumba

Senior Diamond leader

Naitwa Happiness Bwana Kashumba .Balozi wa Kampuni ya Bfsuma..nimama wa…

RIZIKI ALMAS

Position: Senior Diamond leader
Phone: +255656357443
Email: riziki.almas89@gmail.com
Categories: Car Awards, Top Leader, Travel Awards

SAFARI YANGU YA MAFANIKIO NDANI YA KAMPUNI YA BFSUMA.

Naitwa Riziki Almas, ni mama wa watoto wawili, nimemaliza chuo kikuu Cha dar es salaam mwaka 2014, na sikufanikiwa kupata ajira,hivyo nilijiari na kufungua ofisi ya ushonanji nguo, kutokana  na changamoto za biashara ( Kodi, ujuzi, rasiliamali watu) nilishindwa kuendelea na kufunga ofisi yangu ya ushonaji , na ndio nilipokutana na fursa hii ya biashara ( BFSUMA) kupitia rafiki yangu nilosoma naye chuo Iman mosses Mwasaka, Kwa Sasa ni mjasiriamali mkubwa kupitia kampuni ya BFSUMA niliyeanza safari yangu ya mafanikio mnamo 29/01/2016 na ninashukuru Mungu Kwa kuwa imenisaidia kutimiza ndoto zangu nilizokua naona siwezi kutimiza kabla sijaanza biashara.

Ndoto kubwa nilonayo ndio ilikuwa chachu ya kuchagua kampuni ya BFSUMA. ndoto yangu ni kuwasaidia watu zaidi ya 1000 kutimiza ndoto zao na kuziishi  mpaka 2025 hii ndoto itakuwa imetimia na Pili kuwa na kampuni ya uwekezaji wa makazi na viwanja( real estate) mpaka mwezi 12/2026 ndoto yangu hii itakuwa imetimia.

MAFANIKIO NILOPATA MPAKA SASA 2022

SAFARI

Nimefanikiwa kupata tuzo za safari ndani ya bara la afrika na Asia ( intercontinental travel awards) na safari za kimataifa (international travel awards) mpaka sasa nimeweza kwenda nchi 4 ikiwepo Thailand,Hongkong, south Africa, Kenya.

GARI

Nimefanikiwa kushinda tuzo ya Gari( Normal car award) 2022 aina ya Audi A4 yenye thamani ya Dola 12,500 za kimarekani na nimeweza.

BONUS KUBWA

Nimefanikiwa kuwa miongoni mwa watu wanaopokea Malipo makubwa( bonus) kubwa ndani ya kampuni yaani ni miongoni wa kumi Bora wanaopokea bonus kubwa ndani ya Tanzania.

HARAKATI ZA WANAWAKE(AMBITIOUS WOMEN)

Nimefanikiwa kuanzisha harakati za wanawake walioamua kupambania NDOTO zao, tunakusaidia kutambua uwezo/nguvu ulionao kiasili katika kujenga JAMII yenye mafanikio makubwa bila kutelekeza NDOTO zako. Kama wewe ni mpenda harakati hizi ungana nami kwenye kurejesha furaha na uwezo wa Mwanamke.

TIMU KUBWA ( BRIGHTER TEAM)

Nimefanikiwa kujenga biashara yangu kubwa Tanzania bara na visiwani na  imenisaidia kuwafikia vijana,wazee na watanzania wengi wenye njaa ya Mafanikio bila kujali elimu zao, historia zao,ujuzi wao Hivyo hata wewe unayesoma hii waweza jiunga Kwa timu yangu ili ufikie “NDOTO YAKO KUBWA ULOTELEKEZA.”
Mimi nakwambia inawezekana kunyanyuka Tena na KUPIGANIA NDOTO yako.

RIZIKI ALMAS

Senior Diamond leader

SAFARI YANGU YA MAFANIKIO NDANI YA KAMPUNI YA BFSUMA. Naitwa…

PETRONILA SHALI JOHN

Position: Leader and Trainer
Phone: 0717033033
Categories: Top Leader, Travel Awards

Ni mke na Mama wa watoto wawili,Ni Mwanachama hai katika kampuni ya BFSUMA

Nimejiumga rasmi mwaka 2018 Mwezi wa kumi,Toka nimejiunga na kampuni hii nimefanikiwa kubadilishwa kimtazamo kwani nilikuwa nikiamini kuajiriwa zaidi kuliko kujiajiri.

BFSUMA imenitoa kwenye ziro mpaka kwenye kitu fulan yaan imenifanya kuwa na uhuru wa kipato kupitia faida ya rejareja ninayoipata kila niuzapo bidhaa na kila mwezi inanilipa bonus kulingana na mauzo niliyofanya mimi pamoja na team yangu

Nimefanikiwa kumiliki ofisi yangu mwenyewe yaan duka la Bfsuma ambalo BFSUMA inanilipa kila mwezi

Ni mshindi wa safari mwaka 2022 na pia mshindi wa safari mwaka 2023, Ni tuzo ambazo zinatolewa na Bfsuma

 

PETRONILA SHALI JOHN

Leader and Trainer

Ni mke na Mama wa watoto wawili,Ni Mwanachama hai katika…

Amosi Mwita

Position: SENIOR LEADER
Phone: 0712 126 127
Email: amosijulius@gmail.com
Categories: Car Awards, Top Leader, Travel Awards

Naitwa Amosi Mwita, Ni mshindi WA gari pamoja na safari mbili ndani ya Kampuni ya BF SUMA, Nafundisha Watu Kuanzisha Biashara Kwa mtaji mdogo na Kwa Muda Wa Ziada, bila kuathiri shughuli zako za kila siku. Nimtafurahi kwakua nimewasaidia watu wengi Sana kubadilisha maisha ya kiuchumi pia na kipato… Karibu sana ujifunze zaidi kutoka kwangu.

Amosi Mwita

SENIOR LEADER

Naitwa Amosi Mwita, Ni mshindi WA gari pamoja na safari…

Amina Mohamed Khamis

Position: Senior Diamond Leader
Phone: 0773731120
Email: emmyed25@yahoo.com
Categories: Car Awards, Top Leader

Mimi ni mwanachama hai wa Kampuni ya BF Suma ngazi ya 10 (SDL).

Ni mwajiriwa Serikalini, ni mke na ni mama wa watoto watatu.

Nimejiunga na Kampuni ya BF SUMA Mwezi June 2019 kwa ajili ya kupata bidhaa kwa bei ya punguzo, baada ya kuhangaika kwa muda mrefu kutafuta tiba ya changamoto ya kiafya ambayo nilikua ninakabiliana nayo bila ya upasuaji. Niligundulika nina uvimbe mkubwa katika kizazi (fibroid) wenye ukubwa wa cm 10, uvimbe ambao ulipelekea kuharibu mimba tatu, kupata hedhi isiyo na mpangilio na kupoteza damu nyingi kulikonisababishia upungufu wa damu na kuhatarisha kutolewa kizazi kwa njia ya upasuaji.

Kupitia bidhaa za Kampuni ya BF SUMA niliweza kumaliza kabisa tatizo langu ndani ya miezi mitatu tu.   Baada ya hapo nikaamua kujikita moja kwa moja kutatua changamoto za kiafya kwa jamii inayonizunguka.

Hadi sasa nimeweza kuwafikia wahanga wengi wa matatizo mbalimbali ya kiafya ndani na nje ya Tanzania na wamefanikiwa kuondokana na changamoto zao za kiafya na kiuchumi.

MAFANIKIO NILIYOPATA KUPITIA MFUMO HUU:-

1) Kwa kuingia ubia na Kampuni hii na kuweza kutatua changamoto yangu ya kiafya na changamoto za wengine Nilifanikiwa kuingiza kipato cha ziada nje ya ajira yangu cha zaidi ya Miliomi Moja kwa mwezi. Na hadi sasa nimekua ni miongoni mwa wanaopokea kipato kikubwa (Bonus) kupitia mfumo huu wa kibiashara

2) Nimeweza kushirikisha wengi katika fursa hii ya kibiashara na kuwashika mkono kufikia malengo yao ya kuweza kujiajiri na kujipatia kipato cha kuanzia 500,000 kwa mwezi na zaidi.

3) Chini ya uongozi wa Team yangu THE EAGLES, nimefanikiwa kutoa washindi wawili wa Safari ya Dubai na Washindi wawili wa magari yenye thamani ya Milioni 28.

4) Nimefanikiwa kufungua ofisi nzuri inayojitegemea ambayo imeweza kutoa ajira kwa wengine, na inayotumika kwa ajili ya kutoa mafunzo maalum ya ujasiriamili kwa wanaojiunga na mfumo wetu

6) Kupitia mfumo huu wa Kibiashara katika Kampuni  ya BF SUMA tayari nimekua miongoni mwa walioshinda Gari (Car Awardee) kwa mwaka 2022 lenye thamani ya $12500 sawa na TZS28750000

Je umependezwa na mfumo wetu wa Kibiashara ambao utaweza kukusaidia kutatua changamoto za kiafya kwako na kwa jamii inayokuzunguka na kukuingizia kipato cha uhakika na endelevu? Kama jibu ni ndio wasiliana nami kupitia simu namba 0773731120

SHUKRAN

Amina Mohamed Khamis

Senior Diamond Leader

Mimi ni mwanachama hai wa Kampuni ya BF Suma ngazi…

Erick Mike Etanga

Position: Leader and Trainer
Phone: 0622551009
Categories: Top Leader, Travel Awards

Kwa majina naitwa Erick Etanga na hii ndio Safari Yangu ndani ya biashara yangu ya BF Suma

KUTOKA KUKATA TAMAA HADI KUBADILI MAISHA.

Kila mtu ana ndoto zake, lakini kufanikisha ndoto hizo mara nyingi kunahitaji hatua madhubuti. Nikiwa kijana mwenye malengo makubwa, nilijikuta nikipambana kila siku, lakini changamoto za kifedha na maisha zilikuwa zinanirudisha nyuma. Nilikuwa na ndoto ya kuboresha maisha yangu, lakini nilihisi kama milango yote ilikuwa imefungwa. Hapo ndipo nilipojifunza kuhusu kampuni ya BF Suma.

Nilipata habari za BF Suma kutoka kwa rafiki yangu, ambaye alikuwa amebadilisha maisha yake kupitia kampuni hiyo. Aliniambia kuhusu fursa za biashara ambazo BF Suma inatoa na jinsi unaweza kuanza kama mjasiriamali bila kuhitaji mtaji mkubwa. Mwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini baada ya kuona mafanikio yake, nilichukua uamuzi wa kujiunga.

KUJIUNGA NA BF SUMA
Kujiunga na kampuni ya BF Suma ilikuwa moja ya maamuzi bora zaidi niliyowahi kufanya. Nilipoanza safari yangu, niligundua kuwa BF Suma ni zaidi ya biashara ya kuuza bidhaa; ni mfumo mzuri wa kusaidia watu kujenga biashara zao na kufanikiwa. Nilianza kama mshiriki mdogo, nikijifunza mbinu za kibiashara, jinsi ya kuuza bidhaa za afya, na namna ya kuunda timu yenye nguvu.

Kilichonivutia zaidi ni ubora wa bidhaa za BF Suma. Bidhaa hizi ni za asili, zenye virutu

bisho vya hali ya juu vinavyosaidia kuboresha afya ya mwili. Nilipenda bidhaa kwa sababu niliona matokeo mazuri, na ilikuwa rahisi kwa wateja wangu nao kuona manufaa yake.

MABADILIKO KWENYE MAISHA YANGU
Ndani ya miezi michache, nilianza kuona mabadiliko makubwa. Sio tu kwa sababu ya mapato, bali pia kwa namna nilivyokuwa na uwezo wa kusaidia watu wengine kuboresha maisha yao kupitia bidhaa na fursa za biashara za BF Suma. Nilianza kupata kipato kinachonisaidia kulipa bili zangu, kuwekeza kwenye ndoto zangu, na hata kuwasaidia wapendwa wangu kifedha.

Lakini mafanikio yangu hayakuegemea kwenye fedha pekee. Nilikuza ujuzi wangu wa uongozi, jinsi ya kuongoza timu, na kuhamasisha watu kufikia ndoto zao. Kila siku, ninapata furaha kubwa kuona watu ninaowaongoza wakifanikiwa, wakiboresha maisha yao kupitia fursa za BF Suma.

KULETA TOFAUTI KWA WATU WENGINE
Sasa, nimekuwa sio tu mshiriki wa BF Suma bali pia kiongozi mwenye uwezo wa kusaidia watu wengine kuanza safari zao. Nimejifunza kuwa mafanikio yanaongezeka unavyosaidia watu wengine kufanikiwa. Ninawaongoza wajasiriamali wapya, ninawapa motisha, na kuwaletea mwanga kwenye safari yao ya kubadili maisha kupitia BF Suma.

Kila mara ninaposhuhudia mtu akianza biashara yake na kuona mabadiliko kwenye maisha yake, ninapata faraja kubwa. Najua kwamba si kila mtu aliye na nafasi kubwa ya kufanikiwa, lakini kwa kujituma, kujifunza, na kushirikiana na timu sahihi kama BF Suma, kila mtu anaweza kufikia ndoto zake.

HITIMISHO
Kujiunga na BF Suma kumeleta mabadiliko makubwa kwenye maisha yangu. Sasa, ninajivunia kuwa sehemu ya familia ya BF Suma, na nimejitolea kusaidia wengine kugundua uwezo wao, kuanza biashara zao, na kubadilisha maisha yao kama mimi nilivyofanikiwa. Kama unatafuta fursa ya kubadili maisha yako, BF Suma inaweza kuwa jibu sahihi kwako kama ilivyokuwa kwangu. Usikate tamaa – kila siku ni fursa mpya ya kufanikiwa!

Erick Mike Etanga

Leader and Trainer

Kwa majina naitwa Erick Etanga na hii ndio Safari Yangu…

Fatma Abdallah

Position: Leader and Trainer
Phone: 0772602960
Categories: Top Leader

Jina langu fatma Abdulla Mohamed ni active member wa kampuni ya bf suma nimejiunga tarehe 15 /3 /2021 ni mshindi wa safari ya dodoma.nipo ngazi ya saba ni qualified leader naipenda kampuni ambayo imebadilisha maisha yangu muda mfupi na naendelea na kufaidika na matunda ya kampuni Karibuni sana ili tuungane pamoja ili tutatue changamoto za afya pamoja na kipato.

Fatma Abdallah

Leader and Trainer

Jina langu fatma Abdulla Mohamed ni active member wa kampuni…

SHARIFA OMAR ABDALLAH

Position: Leader and Trainer
Phone: 0777656958
Categories: Top Leader

SHARIFA OMAR ABDALLAH

Leader and Trainer

Hassan M. Chitanda

Position: Leader and Trainer
Phone: 0714156500
Categories: Top Leader

 

Hassan M. Chitanda

Leader and Trainer

 

BEATRICE SAMSON MALLEMO

Position: QSDL
Phone: +255 654 136 777
Email: beatricemallemo380@gmail.com
Categories: Car Awards, Top Leader, Travel Awards

Kwa majina naitwa Beatrice Samson Mallemo, Elimu yangu ni mwanasheria.Nilijiunga na Bfsuma mwaka 2015 nikiwa mwaka wa pili chuoni,mpaka sasa jina miaka saba (7) ndani ya kampuni. Cheo changu ni QSDL nikiwa na maana ya ngazi ya kumi

Nimekua mshindi wa safar tatu za nje ya nchi na gari moja ndani ya kampuni lakini pia nina jiingizia kipato kizuri kila mwezi ndani ya kampuni kinachoniwezesha kukidhi mahitaji yangu na familia ýangu Nilichagua kuifanya kazi hii ya Bfsuma fulltime na nina ofisi kubwa dodoma

Ndoto yangu ni kuhakikisha namshika mkono kila aliye ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania mwenye ndoto ya mafanikio na kuhakikisha anatimiza malengo yake

BEATRICE SAMSON MALLEMO

QSDL

Kwa majina naitwa Beatrice Samson Mallemo, Elimu yangu ni mwanasheria.Nilijiunga…

Dinest Marcus Maliva

Position: Diamond leader
Phone: 0788942292
Email: dinestmaliva@gmail.com
Categories: Car Awards, Top Leader, Top Seller, Top Sponsor, Travel Awards


Naitwa Dinest Marcus Maliva…nimama wa watoto wawili….Na pia nimejiajiri kupitia kampuni ya BFSUMA cheo changu ni Diamond Leader..

✍️Historia yangu nje ya BFSUMA/Kabla sijajoajiri na kampuni ya BFSUMA

Kama ilivo kwa kijana yoyote amalizapo masomo yake hamu yake  nikupata ajira..Mimi pia baada ya kuhitimu masomo yangu niliaajiriwa na kufanya kazi kwa miaka kadhaa Ili kuweza kupata mahitaji yangu ya lazima

Lakini kwa sababu nilikuwa na ndoto kubwa kazi Ile haikuweza kukidhi mahitaji nandipo nilipokutana na kampuni ya BFSUMA na kuamua kujifunza na kuthubutu kuanza biashara hii

✍️Safari ya Mafanikio Ndani ya BFSUMA

Baada kuanza biashara BFSUMA nimeweza kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kama ifuatavyo

?Nimeweza kuwasaidia waitaji wengi sana wenye changamoto mbalimbali za Afya kitu kilichonipelekea kuwa best sales/muuzaji Bora kwa takribani miaka 6 mfululizo

?Nimeweza kutengeneza bonus kubwa kila mwezi…kupitia mauzo nayofanya Mimi na team yangu

?Nimeweza kushinda safari mbalimbali za kimataifa na kitaifa kama Kwenda Dubai..Ghana..Hongkong

?Nimeweza kujishindia gari mara mbili ndani ya kampuni ya BFSUMA

?Nimeweza kuwasaidia vijana wengi kupata fursa na kubadili maisha Yao kwakuamua kuthubutu na kuanza biashara hii…Nina team ya watu takribani 1500 ambayo wanafanya kazi ndani ya BFSUMA

✍️MALENGO

Malengo yangu nikuhakikisha vijana wengi wanapata taarifa sahihi kuhusu fursa ya BFSUMA  nakuanza safari ya mafanikio kupitia biashara hii

Pia matarajio yangu nikutengeneza kipato kikubwa ndani ya biashara hii Ili niweze kutimiza ndoto zangu

Niko tayari kumsaidia yoyote ataeitaji kuanza biashara hii kwa muda wowote na mahali popote…

Mawasiliano..

Watsap and call:0788942292

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Dinest Marcus Maliva

Diamond leader

Naitwa Dinest Marcus Maliva…nimama wa watoto wawili….Na pia nimejiajiri kupitia…

I am tab #2 content. Click edit button to change this text. A collection of textile samples lay spread out on the table – Samsa was a travelling salesman.
I am tab #2 content. Click edit button to change this text. A collection of textile samples lay spread out on the table – Samsa was a travelling salesman.
I am tab #2 content. Click edit button to change this text. A collection of textile samples lay spread out on the table – Samsa was a travelling salesman.
I am tab #2 content. Click edit button to change this text. A collection of textile samples lay spread out on the table – Samsa was a travelling salesman.
I am tab #2 content. Click edit button to change this text. A collection of textile samples lay spread out on the table – Samsa was a travelling salesman.
I am tab #2 content. Click edit button to change this text. A collection of textile samples lay spread out on the table – Samsa was a travelling salesman.
I am tab #2 content. Click edit button to change this text. A collection of textile samples lay spread out on the table – Samsa was a travelling salesman.
I am tab #3 content. Click edit button to change this text. Drops of rain could be heard hitting the pane, which made him feel quite sad. How about if I sleep a little bit longer and forget all this nonsense.
I am tab #3 content. Click edit button to change this text. Drops of rain could be heard hitting the pane, which made him feel quite sad. How about if I sleep a little bit longer and forget all this nonsense.
I am tab #3 content. Click edit button to change this text. Drops of rain could be heard hitting the pane, which made him feel quite sad. How about if I sleep a little bit longer and forget all this nonsense.
I am tab #3 content. Click edit button to change this text. Drops of rain could be heard hitting the pane, which made him feel quite sad. How about if I sleep a little bit longer and forget all this nonsense.

© 2024 MPANGO MZIMA. All Rights Reserved