Musa Harun Mwantimwa

Position: Top Leader
Phone: 0766 720 853
Categories: New Rank Archievers, Top Leader, Travel Awards

Ninaitwa Musa Haruni Mwantimwa, Elimu yangu ni shahada ya ualimu kutoka Chuo kikuu Dar es salaam (University of Dar es salaam) 2015.Kwa sasa ninafanya Biashara ya uuzaji wa bidhaa za afya katika kampuni ya BFSUMA ambayo makao makuu yake ni nchini marekani.Baada ya kuhitimu masomo yangu ya chuo kikuu 2015 mwezi July nili amua kuanza biashara na kampuni ya bfsuma ili kuwa sehemu ya wafanya biashara wakubwa wa bidhaa za afya bidhaa ambazo zina uwezo wa kutibu na kukinga maradhi katika mwili wa binadamu.Kwa kufanya biashara na kampuni ya bfsuma imeniwezesha kupata ustawi wa kiafya na kiuchumi.Mimi ni mtumiaji namba moja wa bidhaa za bfsuma kabla sijawapelekea wengine.

Kiuchumi

Bfsuma imeniwezesha kuongeza kipato changu na kuwa chenye uhakika tofauti na hapo awali ambapo ilinilazimu kuwa na msongo wa mawazo kwa sababu sikuwa na uhakika wa kupata pesa za kujikimu Mimi na familia yangu mfano kununua chakula,kulipa gharama za matibabu na kulipa pango la nyumba.Ninayo miradi kadhaa ya ujenzi wa nyumba ninayo tegemea kuifanya kwa ajili yangu mwenyewe na wazazi wangu.

Mafanikio niliyoyapata

  • 2023 Nimeweza kwenda Afrika ya Kusini kujifunza zaidi kuhusiana na biashara na kukutana na wafanyabishara wakubwa duniani ambao walinipa uzoefu mbali mbali.
  • 2024 Nimeweza kwenda Dubai kwa udhamini wa BF SUMA kwa ajili ya kujifunza na kupata uzoefu mbali mbali wa kuhakikisha biashrfa yangu inakua kwa ukubwa zaidi.
  • Nimeweza kuwasaidia watu zaidi ta 1000 ambao wameanza biashara hii kwasababu niliwafundisha na sasa wanajisimamia kwa ukubwa na kulisha familia zao na kutimiza ndoto zao

Matarajio

Ninatarajia kuendelea kuwasaidia watu wengine wenye njozi kama mimi kuhakikisha wanafikia malengo yao kwa kupitia biashara ninayoifanya.

Mtu yeyote atakayekuwa tayari kufundishwa na mimi na akaamua kuanza kwa mtaji wa kuanzia shilingi 200,000 nitamsaidia kuhakikisha anafikia ndoto zake vizuri kabisa.

Nipigie au tuma meseji kwa 0766 720853 au 0733 288 050

© 2024 MPANGO MZIMA. All Rights Reserved