Happiness Bwana Kashumba

Position: Senior Diamond leader
Phone: 255764176261
Categories: Car Awards, Top Leader, Travel Awards

Naitwa Happiness Bwana Kashumba .Balozi wa Kampuni ya Bfsuma..nimama wa watoto wawili..ni mke pia

✍️Elimu
Muhitimu shahada ya Ualimu kutoka chuo kikuu cha Dar es salam

 

Taaluma
✍️Kwa taaluma ni mwalimu

Mwalimu Happiness vs Leader Happiness

 

 

✍️Kazi niifanyayo sasa
Kwa sasa nimejiajiri kupitia kampuni ya Afya BFSUMA kampuni ambayo imeweza kubadili maisha yangu kwa kiasi kikubwa na kwasasa natambulika kama kiongozi ngazi ya 10 au Senior Diamond leader ngazi ambayo Iko ndani ya ngazi 12 katika kampuni ya BFSUMA

 

✍️Mfanikio Ndani ya Kampuni ya BFSUMA
Nikiwa na miaka kadhaa Toka nifanye maamuzi ya kujiajiri..nimeweza kufanikiwa baadhi ya ndoto zangu kama ifuatavyo

🛶Mshindi wa Safari mwaka 2019 ..2021

Kupitia Kampuni ya Bfsuma nimeweza kushinda safari za kimataifa kwa ajili ya kwenda kujifukiza mambo mapya na pia kutalii




 

🚗Mshindi wa Gari mwaka 2020.

 

👠Pia biashara hii imeweza kunipa nafasi yakukuza kipato changu ambapo Mimi kama mwanamke nimeweza kujitimizia mahitaji yangu muhimu huku nikiendelea kutimiza ndoto zangu

👭 nimeweza pia kuwasaidia watu mbalimbali nao pia kuweza kujenga biashara na takribani watu 2000 wananufaika na kampuni kupitia Mimi kuwapa taarifa juu ya biashara hii

🏋️Malengo
.Malengo yangu nikuhakikisha nawasaidia Watanzania wengi na wasio Watanzania kuweza kubadili maisha Yao kupitia kampuni hii ya BFSUMA

.kutengeneza biashara kubwa itayonilipa Mimi na kizazi changu

Naifurahia biashara yangu sababu inanipa nafasi yakusaidia waitaji wengi wenye changamoto za Afya..lakin kuwasaidia vijana kupata fursa ya biashara….
Kupitia fursa hii nimeweza kubadili maisha yangu kimtazamo na kiuchumi pia.
Nawakaribisha tuzungumze pamoja

Karibu nikupe mafunzo jinsi ambavyo utaweza kubadili maisha yako kupitia kampuni ya BFSUMA…

Mawasiliano: Calls:0764176261

Watsap:0764176261

Au bonyesa link hii kunipata Moja kwa moja

Message Happiness Kashumba on WhatsApp. https://wa.me/message/UYKULKMIT5JOD1

 

 

 

 

 

 

© 2024 MPANGO MZIMA. All Rights Reserved