FRANCE EDWIN MINGA

Position: Leader and Trainer
Phone: 0764047915
Categories: Top Leader, Travel Awards

Namna BF SUMA Ilivyo ninufaisha Kwa Kipindi Kifupi……

Nimeanza rasmi Kufanya kazi na kampuni ya BF SUMA tangu mwezi wa kwanza 2019

Fursa hii niliijua kabla ya mwaka 2019 nakumbuka ilikuwa 2016 ambapo niliifahamu hii kampuni

Mawazo yangu yalikuwa kama yako uliyonayo pengine ,, niliamini katika ajira na kazi zingine

Mwisho wa siku nimekuja kuelewa kuwa mawazo yangu yalikuwa sio sahihi sana

Nakumbuka baada ya kumaliza chuo tuu nilijitafitia kiajira katika taasisi moja inamiliki shule

Nikafanya kazi Kwa miaka 3 bila kutimiza malengo yangu hata madogo

Kwanini ?

Msharaha ulikuwa mdogo sana na ulikuwa inatosha kula tuu

Sasa basi BF SUMA ilinitoa huko kwenye Mateso na stress hizo

Nilipoanza BF SUMA 2019 mwezi wa kwanza nilifanikiwa kuendelea na kazi  na kipato changu kufikia mwezi wa 10 …

..kilikuwa ni mara sita zaidi ya mshahara ule katika ile taasisi

Ilipofikia 2020 nikafanikiwa kumjengea mama yangu nyumba kama lengo mhimu na awali kwangu

2021 nikafanikiwa kujenga nyumba yangu pia

Na ilipofika 2021 mwishoni nikafanikiwa kufudhu safari kwenda DUBAI kupumzika na kampuni inalipia kila kitu safari inayogharimu zaidi ya 4,600,000

Ambapo safari hii ilipangwa mwezi wa kumi mwaka 2022

Kizuri zaidi ni kwamba 2022 nimefudhu tena safari Nyingine haziwezi unganishwa Kwa pamoja hii itakuwa ya 2023

Na sasa 2022 naendelea na mapambano yatakayoniwezesha kutunukiwa gari na kuongeza kipato changu Cha mwezi zaidi

Na wewe Unaweza kutimiza malengo yako Kwa muda mfupi endapo utatenga muda wako wa siku chache kujifunza

Unaweza kunitafuta Kwa namba hii (+255764047915 )

© 2024 MPANGO MZIMA. All Rights Reserved