Dinest Marcus Maliva

Position: Diamond leader
Phone: 0788942292
Categories: Car Awards, Top Leader, Top Seller, Top Sponsor, Travel Awards


Naitwa Dinest Marcus Maliva…nimama wa watoto wawili….Na pia nimejiajiri kupitia kampuni ya BFSUMA cheo changu ni Diamond Leader..

✍️Historia yangu nje ya BFSUMA/Kabla sijajoajiri na kampuni ya BFSUMA

Kama ilivo kwa kijana yoyote amalizapo masomo yake hamu yake  nikupata ajira..Mimi pia baada ya kuhitimu masomo yangu niliaajiriwa na kufanya kazi kwa miaka kadhaa Ili kuweza kupata mahitaji yangu ya lazima

Lakini kwa sababu nilikuwa na ndoto kubwa kazi Ile haikuweza kukidhi mahitaji nandipo nilipokutana na kampuni ya BFSUMA na kuamua kujifunza na kuthubutu kuanza biashara hii

✍️Safari ya Mafanikio Ndani ya BFSUMA

Baada kuanza biashara BFSUMA nimeweza kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kama ifuatavyo

?Nimeweza kuwasaidia waitaji wengi sana wenye changamoto mbalimbali za Afya kitu kilichonipelekea kuwa best sales/muuzaji Bora kwa takribani miaka 6 mfululizo

?Nimeweza kutengeneza bonus kubwa kila mwezi…kupitia mauzo nayofanya Mimi na team yangu

?Nimeweza kushinda safari mbalimbali za kimataifa na kitaifa kama Kwenda Dubai..Ghana..Hongkong

?Nimeweza kujishindia gari mara mbili ndani ya kampuni ya BFSUMA

?Nimeweza kuwasaidia vijana wengi kupata fursa na kubadili maisha Yao kwakuamua kuthubutu na kuanza biashara hii…Nina team ya watu takribani 1500 ambayo wanafanya kazi ndani ya BFSUMA

✍️MALENGO

Malengo yangu nikuhakikisha vijana wengi wanapata taarifa sahihi kuhusu fursa ya BFSUMA  nakuanza safari ya mafanikio kupitia biashara hii

Pia matarajio yangu nikutengeneza kipato kikubwa ndani ya biashara hii Ili niweze kutimiza ndoto zangu

Niko tayari kumsaidia yoyote ataeitaji kuanza biashara hii kwa muda wowote na mahali popote…

Mawasiliano..

Watsap and call:0788942292

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

© 2024 MPANGO MZIMA. All Rights Reserved