BEATRICE SAMSON MALLEMO

Position: QSDL
Categories: Car Awards, Top Leader, Travel Awards

Kwa majina naitwa Beatrice Samson Mallemo, Elimu yangu ni mwanasheria.Nilijiunga na Bfsuma mwaka 2015 nikiwa mwaka wa pili chuoni,mpaka sasa jina miaka saba (7) ndani ya kampuni. Cheo changu ni QSDL nikiwa na maana ya ngazi ya kumi

Nimekua mshindi wa safar tatu za nje ya nchi na gari moja ndani ya kampuni lakini pia nina jiingizia kipato kizuri kila mwezi ndani ya kampuni kinachoniwezesha kukidhi mahitaji yangu na familia ýangu Nilichagua kuifanya kazi hii ya Bfsuma fulltime na nina ofisi kubwa dodoma

Ndoto yangu ni kuhakikisha namshika mkono kila aliye ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania mwenye ndoto ya mafanikio na kuhakikisha anatimiza malengo yake

© 2024 MPANGO MZIMA. All Rights Reserved