Amina Mohamed Khamis
Mimi ni mwanachama hai wa Kampuni ya BF Suma ngazi ya 10 (SDL).
Ni mwajiriwa Serikalini, ni mke na ni mama wa watoto watatu.
Nimejiunga na Kampuni ya BF SUMA Mwezi June 2019 kwa ajili ya kupata bidhaa kwa bei ya punguzo, baada ya kuhangaika kwa muda mrefu kutafuta tiba ya changamoto ya kiafya ambayo nilikua ninakabiliana nayo bila ya upasuaji. Niligundulika nina uvimbe mkubwa katika kizazi (fibroid) wenye ukubwa wa cm 10, uvimbe ambao ulipelekea kuharibu mimba tatu, kupata hedhi isiyo na mpangilio na kupoteza damu nyingi kulikonisababishia upungufu wa damu na kuhatarisha kutolewa kizazi kwa njia ya upasuaji.
Kupitia bidhaa za Kampuni ya BF SUMA niliweza kumaliza kabisa tatizo langu ndani ya miezi mitatu tu. Baada ya hapo nikaamua kujikita moja kwa moja kutatua changamoto za kiafya kwa jamii inayonizunguka.
Hadi sasa nimeweza kuwafikia wahanga wengi wa matatizo mbalimbali ya kiafya ndani na nje ya Tanzania na wamefanikiwa kuondokana na changamoto zao za kiafya na kiuchumi.
MAFANIKIO NILIYOPATA KUPITIA MFUMO HUU:-
1) Kwa kuingia ubia na Kampuni hii na kuweza kutatua changamoto yangu ya kiafya na changamoto za wengine Nilifanikiwa kuingiza kipato cha ziada nje ya ajira yangu cha zaidi ya Miliomi Moja kwa mwezi. Na hadi sasa nimekua ni miongoni mwa wanaopokea kipato kikubwa (Bonus) kupitia mfumo huu wa kibiashara
2) Nimeweza kushirikisha wengi katika fursa hii ya kibiashara na kuwashika mkono kufikia malengo yao ya kuweza kujiajiri na kujipatia kipato cha kuanzia 500,000 kwa mwezi na zaidi.
3) Chini ya uongozi wa Team yangu THE EAGLES, nimefanikiwa kutoa washindi wawili wa Safari ya Dubai na Washindi wawili wa magari yenye thamani ya Milioni 28.
4) Nimefanikiwa kufungua ofisi nzuri inayojitegemea ambayo imeweza kutoa ajira kwa wengine, na inayotumika kwa ajili ya kutoa mafunzo maalum ya ujasiriamili kwa wanaojiunga na mfumo wetu
6) Kupitia mfumo huu wa Kibiashara katika Kampuni ya BF SUMA tayari nimekua miongoni mwa walioshinda Gari (Car Awardee) kwa mwaka 2022 lenye thamani ya $12500 sawa na TZS28750000
Je umependezwa na mfumo wetu wa Kibiashara ambao utaweza kukusaidia kutatua changamoto za kiafya kwako na kwa jamii inayokuzunguka na kukuingizia kipato cha uhakika na endelevu? Kama jibu ni ndio wasiliana nami kupitia simu namba 0773731120
SHUKRAN