PETRONILA SHALI JOHN
Ni mke na Mama wa watoto wawili,Ni Mwanachama hai katika kampuni ya BFSUMA
Nimejiumga rasmi mwaka 2018 Mwezi wa kumi,Toka nimejiunga na kampuni hii nimefanikiwa kubadilishwa kimtazamo kwani nilikuwa nikiamini kuajiriwa zaidi kuliko kujiajiri.
BFSUMA imenitoa kwenye ziro mpaka kwenye kitu fulan yaan imenifanya kuwa na uhuru wa kipato kupitia faida ya rejareja ninayoipata kila niuzapo bidhaa na kila mwezi inanilipa bonus kulingana na mauzo niliyofanya mimi pamoja na team yangu
Nimefanikiwa kumiliki ofisi yangu mwenyewe yaan duka la Bfsuma ambalo BFSUMA inanilipa kila mwezi
Ni mshindi wa safari mwaka 2022 na pia mshindi wa safari mwaka 2023, Ni tuzo ambazo zinatolewa na Bfsuma