ELIA MLIMI

Position: Top Leader
Phone: 0711598973
Categories: Fast Growing Champions, Top Leader, Top Seller

Kwa jina naitwa ELIA MLIMI  nimemaliza elimu ya chuo mwaka 2021 BACHELOR DEGREE IN LOGISTICS AND TRANSPORT MANAGEMENT.

NINA NDOTO KUBWA.

Baada ya kumaliza chuo nilipitia wakati mgumu na sikujua nini cha kufanya ili kuniingizia kipato. Nilitafuta ajira bila mafanikio. Nikaamua kuanza kufanya kazi za kunyanyua mizigo  viwandani na kulipwa kiasi kidogo cha pesa ili kuweza kumudu mahitaji yangu ya siku, pesa ambayo ilikuwa hiatoshi kukidhi matumizi ya siku ikiishia kwenye nauli na chakula. Nilishindwa kulipa kodi ikapelekea kuishi kwa marafiki. Kilikuwa ni kipindi kigumu sana katika maisha.

Mwaka 2021 nikaipokea fursa ya BFSUMA bila kujali elimu wala vyeti nilivyokuwa navyo.. nikaanza kufanya bishara hii na kampuni hii kubwa ya BFSUMA  hapo ndio mwanga wa mafanikio katika maisha yangu ukaanza kuonekana. Kampuni hii imenipa uhuru wa ki uchumi na kuya tawala maisha yangu..  sasa naweza kuingiza kiasi cha tsh. 5000000+  kwa mwezi hivyo naweza kuendesha maisha yangu kwa uhuru naendelea piah kutimiza ndoto zangu kwa kuwa  ndoto yangu haijaishia hapa.

nimewasaidia vijana wenzangu  zaidi ya 200+ kujikomboa kiuchumi kupitia biashara hii.. nawasaidia wanachuo ,na walioko mtaani ambao hawajui ni biashara gani wafanye kuwapa mwangaza ili kujikomboa kiuchumi.

Ungana nami nitakufundisha na kukusimamia ili uweze kufanikiwa kiuchumi ahsante..

© 2024 MPANGO MZIMA. All Rights Reserved