MWANZILISHI WA TIMU YA MPANGO MZIMA
Iman Moses Mwasaka ndio mwanzilishi wa timu ya ujasiriamali ya Mpango Mzima. Iman Moses Mwasaka alizaliwa katika mkoa wa Mbeya na amehitimu katika shule msingi mbalizi Moja, kidato cha nne Mbalizi Sekondari, kidato cha sita Wenda Sekondari na shahada yake ameipata katika chuo kikuu cha Dar es salaam akisomea shahada ya biashara katika Uhasibu (B.com in Accounting).
Tarehe 25-08-2014 alianzisha Timu ya ujasiriamali aliyoiita mpango mzima akishirikiana na washirika kutoka marekani, timu hiyo ilianzishwa katika jiji la bishara la Dar es salaam Tanzania.
Lengo kuu ya kuanzisha hii timu ya ujasiriamali ilikuwa ni kuhakikisha watu wote wenye mitaji midogo ya kibiashara hususani kuanzia sh.200,000 wanaweza kujiajiri wenyewe na kufikia malengo makubwa zaidi ya mafanikio ambayo wanayahitaji na kwa hilo kwa kushirikia na wabia wake kutoka marekani ameweza kusaidia watu wengi zaidi ambao wanavipato vyao na wanaendesha familia zao kwa pesa wanazo zitengeneza wao wenyewe.
Ili Ujifunze Zaidi na wewe uanze leo bofya hapo JIFUNZE ZAIDI.
Karibu