SOMA HISTORIA YA KILA KIONGOZI HAPO CHINI KISHA CHAGUA UNAYEONA ATAWEZA KUWA KIONGOZI AU MWALIMU WAKO

NA UMPIGIE SIMU AU TUMA MESEJI KWA NAMBA INAYOONEKANA KWENYE BANGO LAKE NA AANZE KUKUFUNDISHA BIASHARA KISHA UANZE BIASHARA (BOFYA PICHA YAKE UTAONA HISTORIA YAKE, HAKIKISHA UNAMSOMA KILA KIONGOZI ILI UPATE CHAGUO BORA ZAIDI NA UFANIKIWE KWENYE BIASHARA)

Omar Hamad Omar

Position: Leader and Trainer
Phone: 0774768320
Categories: Top Leader, Travel Awards

Iam Bussiness man of network marketing And now I have many beneficial in a few time and I proud to be in network marketing and all my life depend on it so es to live with economic freedom

Iam the

Omar Hamad Omar

Leader and Trainer

Iam Bussiness man of network marketing And now I have...

Paul Maulidi Mtasha

Position: Leader and Trainer
Phone: 0785247665
Categories: New Rank Archievers, Top Leader, Travel Awards


Ninaitwa paul Maulidi mtasha, ni mhitimu wa chuo kikuu cha Dodoma mwaka 2019. Pia nilikuwa ni rais wa serikali ya Wanafunzi Ndaki ya Insia na sayansi za jamii katika chuo kikuu cha Dodoma, nikiwa chuo katika mwaka wangu wa tatu ndipo nilipokutana na fursa hii ya biashara.
Na kuamua kuanza biashara hii nikijua fika kwamba mtaani ajira hakuna.
Katika kipindi ambacho nimefanya kazi na team ya mpango mzima nimeweza kutengeneza mfumo ambao unatusaidia mimi na Vijana wenzangu kuweza kujikwamua kiuchumi.

Kwani, kampuni ya bfsuma tunayofanya nayo kazi katika mfumo huu wa biashara inatuwezesha kupata Faida za reja reja tunapouza bidhaa, inatuwezesha kupata bonus kila mwezi, vile vile KAMPUNI inatoa tuzo Kama vile safari za kimataifa (intercontinental travel award) yenye thamani ya dollar 2000 Sawa na tsh 4600000/= (Million nne na laki sita ) kila mwaka.

Tuzo ndani ya kampuni ya BFSUMA.

Mwaka 2022 nimeweza kushinda tuzo ya kusafiri kimataifa bila kutoa hata pesa kidogo. Vile vile Nina amini nitashinda Gari mwaka 2023.

Nimejithatiti kuwasaidia Vijana zaidi ya 600 kuweza Kuingiza pesa tsh million Moja na zaidi kila mwezi.

Wewe unayesoma ujumbe huu unaweza kuwa miongoni mwao ninamshukuru Mungu kwa ajili yako kwa kukutanisha na fursa hii Amua sasa, Mimi nitakushika Mkono kuanzia hatua ya kwanza kabisa mpaka ufanikiwe ahsante sana nipigie simu 0785 247 665.


 

Paul Maulidi Mtasha

Leader and Trainer

Ninaitwa paul Maulidi mtasha, ni mhitimu wa chuo kikuu cha...

Hadija Shabani Sige

Position: LEADER
Phone: +255687355391
Email: smilecharity30@gmail.com
Categories: Top Leader

Kwa majina naitwa hadija shabani sige nikiongozi katika Kampuni ya Bfsuma  Kupitia bfsuma nimeweza kutimiza malengo ambaye yalikua ndani  ya ndoto zangu ,Nimefanikiwa kushinda tuzo za safar miaka miwili mfululizo (2021,2022) ,lakini pia nimefanikiwa kununua kiwanja kupitia kampuni ya BFSUMA.

Hadija Shabani Sige

LEADER

Kwa majina naitwa hadija shabani sige nikiongozi katika Kampuni ya...

EVA NICODEMAS MTEKELE

Position: Leader
Phone: +255754025560
Email: evadicodemas@gmail.com
Categories: Top Leader

Kwa jina naitwa Eva Nicodemas Mtekele, ni kiongozi  ngazi ya 7 katika kampuni ya BF SUMA.

Katika kuzifikia ndoto, kila mmoja ana story yake, ndefu na nyingine huwa hazina mwisho.

Kwa ufupi, yangu inaanzia nilipotamani kuziishi ndoto zangu za kutoa huduma ya afya na kuwa na mafanikio makubwa.

Kwa wakati ule, haikuonekana wazi sana..njia ilikuwa na vumbi la majukumu na upepo wa presha za kuwa mama wa vijana watatu. Ashukuriwe Mungu baada ya kujiunga na kampuni ya BF SUMA, nimeanza kuona mwanga wa mafanikio si tu kwa kutoa huduma tu, bali pia kwa kugusa maisha ya  watu kiuchumi na kwa kila mmoja anayepona kutokana na bidhaa na maelekezo sahihi ninayoyatoa kupitia Eva Health Service, chini ya BF SUMA

EVA NICODEMAS MTEKELE

Leader

Kwa jina naitwa Eva Nicodemas Mtekele, ni kiongozi  ngazi ya...

FLORA SOCHIUS MUKOYI

Position: Senior Diamond Leader
Phone: +255766978388
Email: fsochius@gmail.com
Categories: Top Leader

Naitwa FLORA SOCHIUS MUKOYI wengi huniita Madam Boss ni Mwanachama wa BF SUMA, nipo ngazi ya kumi Senior Diamond Leader (SDL), nimebakiza ngazi mbili kumaliza mpango Masoko wa Kampuni. Ni Mshindi wa Tuzo za Safari Miaka Mitatu Mfululizo Na Pia Ni Mshindi Wa Tuzo Ya  Gari la Mpango Masoko wa Kampuni BMW X5.

Chini yangu Nina watu zaidi ya elfu 2500 na ninafuraha kuwaongoza na kuwaonyesha njian ya mafanikio. Tayari nimeweza wasaidi wengi kujikwamua kimaisha na kufikia NDOTO zao. Ndani ya team ninayoiongoza nimesha zalisha viongozi wengi walioshimda safari na MAGARI pia na wengi wanaingiza KIPATO Chao endelevu.

Karibu uungane NAMI kwenye safari ya mafanikio yako. Niko tayari kukushika mkono 0766978388.

FLORA SOCHIUS MUKOYI

Senior Diamond Leader

Naitwa FLORA SOCHIUS MUKOYI wengi huniita Madam Boss ni Mwanachama...

Hautojutia kabisa kuwa ndani ya mpango mzima maana ni shule ya vitendo ya kukufanya ufanikiwe zaidi na kutimiza ndoto zako, karibu

© 2024 MPANGO MZIMA. All Rights Reserved