Hadija Shabani Sige
Kwa majina naitwa hadija shabani sige nikiongozi katika Kampuni ya Bfsuma Kupitia bfsuma nimeweza kutimiza malengo ambaye yalikua ndani ya ndoto zangu ,Nimefanikiwa kushinda tuzo za safar miaka miwili mfululizo (2021,2022) ,lakini pia nimefanikiwa kununua kiwanja kupitia kampuni ya BFSUMA.