Paul Maulidi Mtasha
Ninaitwa paul Maulidi mtasha, ni mhitimu wa chuo kikuu cha Dodoma mwaka 2019. Pia nilikuwa ni rais wa serikali ya Wanafunzi Ndaki ya Insia na sayansi za jamii katika chuo kikuu cha Dodoma, nikiwa chuo katika mwaka wangu wa tatu ndipo nilipokutana na fursa hii ya biashara.
Na kuamua kuanza biashara hii nikijua fika kwamba mtaani ajira hakuna.
Katika kipindi ambacho nimefanya kazi na team ya mpango mzima nimeweza kutengeneza mfumo ambao unatusaidia mimi na Vijana wenzangu kuweza kujikwamua kiuchumi.Kwani, kampuni ya bfsuma tunayofanya nayo kazi katika mfumo huu wa biashara inatuwezesha kupata Faida za reja reja tunapouza bidhaa, inatuwezesha kupata bonus kila mwezi, vile vile KAMPUNI inatoa tuzo Kama vile safari za kimataifa (intercontinental travel award) yenye thamani ya dollar 2000 Sawa na tsh 4600000/= (Million nne na laki sita ) kila mwaka.
Tuzo ndani ya kampuni ya BFSUMA.
Mwaka 2022 nimeweza kushinda tuzo ya kusafiri kimataifa bila kutoa hata pesa kidogo. Vile vile Nina amini nitashinda Gari mwaka 2023.
Nimejithatiti kuwasaidia Vijana zaidi ya 600 kuweza Kuingiza pesa tsh million Moja na zaidi kila mwezi.
Wewe unayesoma ujumbe huu unaweza kuwa miongoni mwao ninamshukuru Mungu kwa ajili yako kwa kukutanisha na fursa hii Amua sasa, Mimi nitakushika Mkono kuanzia hatua ya kwanza kabisa mpaka ufanikiwe ahsante sana nipigie simu 0785 247 665.