DORIS MUSHI

Position: LEADER
Phone: 0754 600 379
Categories: Top Seller

Naitwa DORIS MUSHI ni binti, mbeba maono wa THE WINNERS TEAM nimemaliza chuo mwaka2018 nikiwa natafuta ajira bila mafanikio nikakutana na fursa mwaka 2019 ambayo imekuwa mkombozi wangu na imenipa Mwanga wa ndoto zangu.

Kabla ya kupokea huu mfumo wa biashara nilipita vipindi vigumu, hasa katika upatikanaji wa ajira nimewahi kuomba kibarua cha kumwagia maua maji,nilifanya biashara ndogo ndogo nikajipatia kiasi kidogo cha fedha Ambacho kilikuwa hakikidhi kabisa Gharama za maisha kama chakula, kodi na Tumaini la kutimiza ndoto zangu lilipotea kabisa mpaka nilipokutana na hii fursa

MAFANIKIO YANGU NDANI YA BIASHARA YANGU.
tangu nilipokutana na fursa hii nimeweza kujisimamia kama binti. kubadilisha maisha yangu na Watu wengine.

➖mpaka Sasa nimeweza kusaidia vijana zaidi ya 150 Tanzania Bara na visiwani, Kujiingizia kipato cha wastani wa 500,000 kila mwezi.

➖Ninajiingizia kipato zaidi ya 2.5 M kwa mwezi Hivyo naweza kumudu Gharama za maisha ambazo Sikuweza kabla ya biashara.

➖Nimeweza kusafiri sehemu mbalimbali ndani ya nchi na nje ya nchi, nimekwenda kenya south Africa kupitia hii biashara.

➖Nimefanikiwa kusaidia familia yangu ikiwemo kumsomesha mdogo wangu kwenye shule nzuri.

➖Nimeweza kubadili mtizamo wangu na watu wengine kuhusu mafanikio.

Karibu tujenge kesho yetu pamoja nipo tayari kukushika mkono nipigie kwa 0754 600 379.

Asante

© 2024 MPANGO MZIMA. All Rights Reserved