ABDALLAH RAMADHAN MSUKA

Position: LEADER
Phone: 0716572595
Categories: Top Seller

Naitwa ABDALLAH RAMADHAN MSUKA sikufanikiwa kusoma Sana ELIMU ngazi za juu na badala yake kuwa fundi ujenzi

NINA NDOTO KUBWA SANA NA LAZIMA ITIMIE

Kutokana na ugumu wa maisha ilinilazimu kujifunza ufundi selemara (carpenter) mtaani na sio chuo. Nilikuwa nikipata mapato madogo lakini sikuwa na namna ndipo mwaka 2018 nikaajiriwa na kampuni ya YAPI MERKEZI ( wakandalasi wa ujenzi wa reli ya umeme) katika position ya carpenter.

Mwaka 2022 ndipo nikakutana na fursa ya BF SUMA katika ukurasa wangu wa Instagram nikaamua kufanya baada ya kuambiwa ni biashara itakayonibadilishia maisha yangu…


Nikaanza kufanya kazi na hapo ndipo nikaanza kuona mwangaza wa maisha yangu kwani nikawa na uwezo wa kuingiza kiasi Cha sh. 800,000 kila wiki ambapo kwa mwezi naingiza zaidi ya 3,200,000/= na hii ikanipelekea kuwa king wa mauzo kwa mwaka 2023 na kushika nafasi ya 6 Tanzania kwamauzo kupitia BF SUMA nimearchive mambo mengi Sana ambayo sikuwa na uwezo nayo huko nyuma bila kujali ELIMU yangu.

Nimewasaidia vijana wenzangu zaidi ya 300+ kujikwamua kiuchumi kupitia biashara hii.
Nimesaidia waajiriwa, watu wasio ELIMU ngazi za juu, wanachuo na walipo mtaani ambao hawajui Nini Cha kufanya…

Wito wangu kwako ungana nami kwenye kwenda kutimiza ndoto zako kupitia biashara hii.. Nipigie kwa 0716572595.

Karibu

© 2024 MPANGO MZIMA. All Rights Reserved