MPANGO MZIMA NI MAALUMU KWA WENYE UHITAJI WA MAFANIKIO

Mpango mzima ni timu ya kijasiriamali ambayo ilianzishwa na Iman Moses Mwasaka tarehe 25/08/2014 lengo kubwa Zaidi ya timu hii ni kusaidia watu wanaohitaji kujiajiri kwa mtaji mdogo wa kuanzia sh. 200,000. Timu hii hadi sasa imeweza saidia watu Zaidi ya 1000 (Elfu Moja) ambao walikuwa hawana kipato kabisa wala mali na sasa wajiweza wao wenyewe katika kuhakikisha familia zao zinaishi vyema.

VIONGOZI WA KUKUONGOZA TUNAO ILI UFANIKIWE

Mpango mzima ni timu iliyojidhatiti kuhakikisha kila mwenye hitaji la kufanikiwa anafanikiwa kulingana na hitaji lake na sisi mpango mzima tumeandaa walimu ambao wamebobea katika suala zima la kuhakikisha wanakufudisha na kukuongoza hadi pale utakapokuwa umefikia mafanikia yako unayoyahitaji kama unamtaji wa kuanzia 200,000 bofya hapo chini learn more uchague kiongozi atakaye kusaidia kufikia malengo yako hakikisha  unamsoma vizuri kiongozi husika na unamchagua unayeona atakusaidia kufikia malengo yako.

FAIDA ZA KUWA NDANI YA MPANGO MZIMA

Ukiwa ndani ya mapango mzima utapata faida kuu nne ambazo zitakusaidia wewe kufikia malengo yako kwa wakati unaohitaji ambazo ni kama zifuatazo 

Mafunzo ya Biashara

Tuna mpango kazi wa kuhakikisha kila atakaye hitaji msaada wa kufanikiwa anakuwa na mwalimu wake mkuu wa kumuongoza hadi akamilishe ndoto yake kwa ukubwa zaidi hivyo basi usiwe na wasiwasi unapofanya maamuzi ya kuwa ndani ya mpango mzima timu.

Kupata Tuzo za faida kila mwaka.

Ukiwa ndani ya Mpango mzima utapata faida ya kusimamiwa vyema na kuhakikisha unapata faida za tuzo kila mwaka kutoka kwa wabia wetu kutoka Marekani utaweza kujipatia Safari ya kwenda ulaya,Asia na Marekani kupumzika bure, pia utapata tuzo ya Gari jipya kila mwaka yenye thamani ya sh.30,000,000 vivyo hivyo mafunzo hayo yatakusaidia kupata tuzo ya nyumba yenye thamani ya sh.460,000,000 Kutoka kwa wabia wetu kutoka Marekani.

Utapata Sapoti unapoanza biashara

Tunatambua kuwa unapoanza biashara unahitaji sapoti ya kuonyeshwa njia wapi upite ili uweze fikia malengo yako na ndio maana ndani ya mpango mzima tumeandaa viongozi wenye uwezo mkubwa wa kukuwezesha kufikia malengo yako kwa ukubwa zaidi.

Utapata faida za kupata fedha

Ukiwa ndani ya timu ya mpango mzima tuakusaidia pia uwe unapata faida zifuatazo za kifedha :

  • Faida za Reja Reja za kila siku ambazo ni zaidi ya sh.50,000
  • Utakuwa unalipwa kila mwisho wa mwezi bonus kulingana na kazi ya mauzo ambayo utakuwa umeyafanya kutoka kwa wabia wetu kutoka marekani na malipo yote ya bonus yameainishwa kwenye mkataba wa kuanza baishara pamoja nasi.
     

 

© 2024 MPANGO MZIMA. All Rights Reserved