MAFANIKIO NI HAKI YAKO HAKIKA
Tarehe 24/08/2022 ilikuwa ni siku njema kabisa kwa timu ya mpango mzima pamoja na wabia wao katika biashara wanaoitwa bf suma kutoka Marekani. Siku hiyo viongozi mbalimbali waliofanikiwa kupitia BF SUMA waliweza kutoa ushuhuda wao lakini pia waliweza kuonyesha mafanikio yao kwa ukubwa zaidi na zaidi.
Ukiwa ndani ya timu ya mpango mzima siku zote tutakusaidia kuhakikisha unafanikiwa kwa kupitia washirika wetu kutoka nchini marekani karibu na uanze sasa
Ilikuwa siku njema sana… Hakika Mpango mzima, Kila mtu ana haki ya kufanikiwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
hakika kiongozi