SIKU YA KUBADILI CHANGAMOTO KUWA FURSA
Tarehe 24/08/2022 katika ukumbi wa Hotel ya Goldcrest Jijini Mwanza,Mpango mzima tutakuwa na semina kubwa kabisa ambayo itakuwa maalumu kwa ajili ya kufundisha watu wanaohitaji kufanikiwa kuweza kubadili changamoto walizo nazo katika mazingina yao kuwa fursa na kuendesha maisha yao. Kama upo mwanza na unahitaji kuhudhuria siku hiyo hakikisha haukosi. Semina itaanza saa tatu kamili Asubuhi na kuisha saa nane kamili mchana karibu sana.
Ukitaka kufika hakikisha unabofya Contact hapo juu ili uweze kujaza details zako na uweze kuandaliwa kadi yako.
karibu sana.