Ninaitwa Musa Haruni Mwantimwa, Elimu yangu ni shahada ya ualimu kutoka Chuo kikuu Dar es salaam (University of Dar es salaam) 2015.Kwa sasa ninafanya Biashara ya uuzaji wa bidhaa za afya katika kampuni ya BFSUMA ambayo makao makuu yake ni nchini marekani.Baada ya kuhitimu masomo yangu ya chuo kikuu 2015 mwezi July nili amua kuanza biashara na kampuni ya bfsuma ili kuwa sehemu ya wafanya biashara wakubwa wa bidhaa za afya bidhaa ambazo zina uwezo wa kutibu na kukinga maradhi katika mwili wa binadamu.Kwa kufanya biashara na kampuni ya bfsuma imeniwezesha kupata ustawi wa kiafya na kiuchumi.Mimi ni mtumiaji namba moja wa bidhaa za bfsuma kabla sijawapelekea wengine.

Kiuchumi

Bfsuma imeniwezesha kuongeza kipato changu na kuwa chenye uhakika tofauti na hapo awali ambapo ilinilazimu kuwa na msongo wa mawazo kwa sababu sikuwa na uhakika wa kupata pesa za kujikimu Mimi na familia yangu mfano kununua chakula,kulipa gharama za matibabu na kulipa pango la nyumba.Ninayo miradi kadhaa ya ujenzi wa nyumba ninayo tegemea kuifanya kwa ajili yangu mwenyewe na wazazi wangu.

Mafanikio niliyoyapata

  • 2023 Nimeweza kwenda Afrika ya Kusini kujifunza zaidi kuhusiana na biashara na kukutana na wafanyabishara wakubwa duniani ambao walinipa uzoefu mbali mbali.
  • 2024 Nimeweza kwenda Dubai kwa udhamini wa BF SUMA kwa ajili ya kujifunza na kupata uzoefu mbali mbali wa kuhakikisha biashrfa yangu inakua kwa ukubwa zaidi.
  • Nimeweza kuwasaidia watu zaidi ta 1000 ambao wameanza biashara hii kwasababu niliwafundisha na sasa wanajisimamia kwa ukubwa na kulisha familia zao na kutimiza ndoto zao

Matarajio

Ninatarajia kuendelea kuwasaidia watu wengine wenye njozi kama mimi kuhakikisha wanafikia malengo yao kwa kupitia biashara ninayoifanya.

Mtu yeyote atakayekuwa tayari kufundishwa na mimi na akaamua kuanza kwa mtaji wa kuanzia shilingi 200,000 nitamsaidia kuhakikisha anafikia ndoto zake vizuri kabisa.

Nipigie au tuma meseji kwa 0766 720853 au 0733 288 050

Kwa jina naitwa ELIA MLIMI  nimemaliza elimu ya chuo mwaka 2021 BACHELOR DEGREE IN LOGISTICS AND TRANSPORT MANAGEMENT.

NINA NDOTO KUBWA.

Baada ya kumaliza chuo nilipitia wakati mgumu na sikujua nini cha kufanya ili kuniingizia kipato. Nilitafuta ajira bila mafanikio. Nikaamua kuanza kufanya kazi za kunyanyua mizigo  viwandani na kulipwa kiasi kidogo cha pesa ili kuweza kumudu mahitaji yangu ya siku, pesa ambayo ilikuwa hiatoshi kukidhi matumizi ya siku ikiishia kwenye nauli na chakula. Nilishindwa kulipa kodi ikapelekea kuishi kwa marafiki. Kilikuwa ni kipindi kigumu sana katika maisha.

Mwaka 2021 nikaipokea fursa ya BFSUMA bila kujali elimu wala vyeti nilivyokuwa navyo.. nikaanza kufanya bishara hii na kampuni hii kubwa ya BFSUMA  hapo ndio mwanga wa mafanikio katika maisha yangu ukaanza kuonekana. Kampuni hii imenipa uhuru wa ki uchumi na kuya tawala maisha yangu..  sasa naweza kuingiza kiasi cha tsh. 5000000+  kwa mwezi hivyo naweza kuendesha maisha yangu kwa uhuru naendelea piah kutimiza ndoto zangu kwa kuwa  ndoto yangu haijaishia hapa.

nimewasaidia vijana wenzangu  zaidi ya 200+ kujikomboa kiuchumi kupitia biashara hii.. nawasaidia wanachuo ,na walioko mtaani ambao hawajui ni biashara gani wafanye kuwapa mwangaza ili kujikomboa kiuchumi.

Ungana nami nitakufundisha na kukusimamia ili uweze kufanikiwa kiuchumi ahsante..

Kwa jina Naitwa AYOUB MUSTAPHER CHITANDA ni mwanachama hai wa Kampuni ya BF SUMA, nipo ngazi ya Uongozi (QUALFIED LEADER)

Mimi ni mwanachama pekee ambaye ninawasaidia watu mbali mbali kumiliki mfumo wa biashara ambao unawasaidia kujiingizia kipato endelevu kuanzia Sh 10,000 mpaka sh 50,000 kwa siku, pamoja na malipo ya kila mwezi kulingana na utendaji kazi

Kupitia Mfumo huu wa Biasha umenisaidia mimi na Familia yangu kutengeneza kipato kizuri cha kila siku kila mwezi pia nategemea kupata tuzo ya safari mwaka 2023 safari inayotolewa na kampuni kila mwaka ndani ya bara la Afrika.

Hitaji langu ni kukusaidia wewe unaetamani kupata Shughuli ya kukuingizia Kipato kila siku na kila mwezi kupitia mfumo huu wa Biashara

Mpaka sasa nimewasaidia watu zaidi ya Mia Tano (500)+ kuendesha maisha yao kupitia mfumo huu mzuri wa biashara

UNGEPENDA KUPATA MWONGOZO KUHUSU MFUMO HUU WA BIASHARA LAKINI HUJUI UANZIE WAPI..!!

NIPIGIE, NIKUPATIE MUONGOZO SAHIHI
📞0715511244


Naitwa Dinest Marcus Maliva…nimama wa watoto wawili….Na pia nimejiajiri kupitia kampuni ya BFSUMA cheo changu ni Diamond Leader..

✍️Historia yangu nje ya BFSUMA/Kabla sijajoajiri na kampuni ya BFSUMA

Kama ilivo kwa kijana yoyote amalizapo masomo yake hamu yake  nikupata ajira..Mimi pia baada ya kuhitimu masomo yangu niliaajiriwa na kufanya kazi kwa miaka kadhaa Ili kuweza kupata mahitaji yangu ya lazima

Lakini kwa sababu nilikuwa na ndoto kubwa kazi Ile haikuweza kukidhi mahitaji nandipo nilipokutana na kampuni ya BFSUMA na kuamua kujifunza na kuthubutu kuanza biashara hii

✍️Safari ya Mafanikio Ndani ya BFSUMA

Baada kuanza biashara BFSUMA nimeweza kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kama ifuatavyo

?Nimeweza kuwasaidia waitaji wengi sana wenye changamoto mbalimbali za Afya kitu kilichonipelekea kuwa best sales/muuzaji Bora kwa takribani miaka 6 mfululizo

?Nimeweza kutengeneza bonus kubwa kila mwezi…kupitia mauzo nayofanya Mimi na team yangu

?Nimeweza kushinda safari mbalimbali za kimataifa na kitaifa kama Kwenda Dubai..Ghana..Hongkong

?Nimeweza kujishindia gari mara mbili ndani ya kampuni ya BFSUMA

?Nimeweza kuwasaidia vijana wengi kupata fursa na kubadili maisha Yao kwakuamua kuthubutu na kuanza biashara hii…Nina team ya watu takribani 1500 ambayo wanafanya kazi ndani ya BFSUMA

✍️MALENGO

Malengo yangu nikuhakikisha vijana wengi wanapata taarifa sahihi kuhusu fursa ya BFSUMA  nakuanza safari ya mafanikio kupitia biashara hii

Pia matarajio yangu nikutengeneza kipato kikubwa ndani ya biashara hii Ili niweze kutimiza ndoto zangu

Niko tayari kumsaidia yoyote ataeitaji kuanza biashara hii kwa muda wowote na mahali popote…

Mawasiliano..

Watsap and call:0788942292

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Kwa majina naitwa Beatrice Samson Mallemo, Elimu yangu ni mwanasheria.Nilijiunga na Bfsuma mwaka 2015 nikiwa mwaka wa pili chuoni,mpaka sasa jina miaka saba (7) ndani ya kampuni. Cheo changu ni QSDL nikiwa na maana ya ngazi ya kumi

Nimekua mshindi wa safar tatu za nje ya nchi na gari moja ndani ya kampuni lakini pia nina jiingizia kipato kizuri kila mwezi ndani ya kampuni kinachoniwezesha kukidhi mahitaji yangu na familia ýangu Nilichagua kuifanya kazi hii ya Bfsuma fulltime na nina ofisi kubwa dodoma

Ndoto yangu ni kuhakikisha namshika mkono kila aliye ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania mwenye ndoto ya mafanikio na kuhakikisha anatimiza malengo yake

 

Jina langu fatma Abdulla Mohamed ni active member wa kampuni ya bf suma nimejiunga tarehe 15 /3 /2021 ni mshindi wa safari ya dodoma.nipo ngazi ya saba ni qualified leader naipenda kampuni ambayo imebadilisha maisha yangu muda mfupi na naendelea na kufaidika na matunda ya kampuni Karibuni sana ili tuungane pamoja ili tutatue changamoto za afya pamoja na kipato.

Kwa majina naitwa Erick Etanga na hii ndio Safari Yangu ndani ya biashara yangu ya BF Suma

KUTOKA KUKATA TAMAA HADI KUBADILI MAISHA.

Kila mtu ana ndoto zake, lakini kufanikisha ndoto hizo mara nyingi kunahitaji hatua madhubuti. Nikiwa kijana mwenye malengo makubwa, nilijikuta nikipambana kila siku, lakini changamoto za kifedha na maisha zilikuwa zinanirudisha nyuma. Nilikuwa na ndoto ya kuboresha maisha yangu, lakini nilihisi kama milango yote ilikuwa imefungwa. Hapo ndipo nilipojifunza kuhusu kampuni ya BF Suma.

Nilipata habari za BF Suma kutoka kwa rafiki yangu, ambaye alikuwa amebadilisha maisha yake kupitia kampuni hiyo. Aliniambia kuhusu fursa za biashara ambazo BF Suma inatoa na jinsi unaweza kuanza kama mjasiriamali bila kuhitaji mtaji mkubwa. Mwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini baada ya kuona mafanikio yake, nilichukua uamuzi wa kujiunga.

KUJIUNGA NA BF SUMA
Kujiunga na kampuni ya BF Suma ilikuwa moja ya maamuzi bora zaidi niliyowahi kufanya. Nilipoanza safari yangu, niligundua kuwa BF Suma ni zaidi ya biashara ya kuuza bidhaa; ni mfumo mzuri wa kusaidia watu kujenga biashara zao na kufanikiwa. Nilianza kama mshiriki mdogo, nikijifunza mbinu za kibiashara, jinsi ya kuuza bidhaa za afya, na namna ya kuunda timu yenye nguvu.

Kilichonivutia zaidi ni ubora wa bidhaa za BF Suma. Bidhaa hizi ni za asili, zenye virutu

bisho vya hali ya juu vinavyosaidia kuboresha afya ya mwili. Nilipenda bidhaa kwa sababu niliona matokeo mazuri, na ilikuwa rahisi kwa wateja wangu nao kuona manufaa yake.

MABADILIKO KWENYE MAISHA YANGU
Ndani ya miezi michache, nilianza kuona mabadiliko makubwa. Sio tu kwa sababu ya mapato, bali pia kwa namna nilivyokuwa na uwezo wa kusaidia watu wengine kuboresha maisha yao kupitia bidhaa na fursa za biashara za BF Suma. Nilianza kupata kipato kinachonisaidia kulipa bili zangu, kuwekeza kwenye ndoto zangu, na hata kuwasaidia wapendwa wangu kifedha.

Lakini mafanikio yangu hayakuegemea kwenye fedha pekee. Nilikuza ujuzi wangu wa uongozi, jinsi ya kuongoza timu, na kuhamasisha watu kufikia ndoto zao. Kila siku, ninapata furaha kubwa kuona watu ninaowaongoza wakifanikiwa, wakiboresha maisha yao kupitia fursa za BF Suma.

KULETA TOFAUTI KWA WATU WENGINE
Sasa, nimekuwa sio tu mshiriki wa BF Suma bali pia kiongozi mwenye uwezo wa kusaidia watu wengine kuanza safari zao. Nimejifunza kuwa mafanikio yanaongezeka unavyosaidia watu wengine kufanikiwa. Ninawaongoza wajasiriamali wapya, ninawapa motisha, na kuwaletea mwanga kwenye safari yao ya kubadili maisha kupitia BF Suma.

Kila mara ninaposhuhudia mtu akianza biashara yake na kuona mabadiliko kwenye maisha yake, ninapata faraja kubwa. Najua kwamba si kila mtu aliye na nafasi kubwa ya kufanikiwa, lakini kwa kujituma, kujifunza, na kushirikiana na timu sahihi kama BF Suma, kila mtu anaweza kufikia ndoto zake.

HITIMISHO
Kujiunga na BF Suma kumeleta mabadiliko makubwa kwenye maisha yangu. Sasa, ninajivunia kuwa sehemu ya familia ya BF Suma, na nimejitolea kusaidia wengine kugundua uwezo wao, kuanza biashara zao, na kubadilisha maisha yao kama mimi nilivyofanikiwa. Kama unatafuta fursa ya kubadili maisha yako, BF Suma inaweza kuwa jibu sahihi kwako kama ilivyokuwa kwangu. Usikate tamaa – kila siku ni fursa mpya ya kufanikiwa!

Mimi ni mwanachama hai wa Kampuni ya BF Suma ngazi ya 10 (SDL).

Ni mwajiriwa Serikalini, ni mke na ni mama wa watoto watatu.

Nimejiunga na Kampuni ya BF SUMA Mwezi June 2019 kwa ajili ya kupata bidhaa kwa bei ya punguzo, baada ya kuhangaika kwa muda mrefu kutafuta tiba ya changamoto ya kiafya ambayo nilikua ninakabiliana nayo bila ya upasuaji. Niligundulika nina uvimbe mkubwa katika kizazi (fibroid) wenye ukubwa wa cm 10, uvimbe ambao ulipelekea kuharibu mimba tatu, kupata hedhi isiyo na mpangilio na kupoteza damu nyingi kulikonisababishia upungufu wa damu na kuhatarisha kutolewa kizazi kwa njia ya upasuaji.

Kupitia bidhaa za Kampuni ya BF SUMA niliweza kumaliza kabisa tatizo langu ndani ya miezi mitatu tu.   Baada ya hapo nikaamua kujikita moja kwa moja kutatua changamoto za kiafya kwa jamii inayonizunguka.

Hadi sasa nimeweza kuwafikia wahanga wengi wa matatizo mbalimbali ya kiafya ndani na nje ya Tanzania na wamefanikiwa kuondokana na changamoto zao za kiafya na kiuchumi.

MAFANIKIO NILIYOPATA KUPITIA MFUMO HUU:-

1) Kwa kuingia ubia na Kampuni hii na kuweza kutatua changamoto yangu ya kiafya na changamoto za wengine Nilifanikiwa kuingiza kipato cha ziada nje ya ajira yangu cha zaidi ya Miliomi Moja kwa mwezi. Na hadi sasa nimekua ni miongoni mwa wanaopokea kipato kikubwa (Bonus) kupitia mfumo huu wa kibiashara

2) Nimeweza kushirikisha wengi katika fursa hii ya kibiashara na kuwashika mkono kufikia malengo yao ya kuweza kujiajiri na kujipatia kipato cha kuanzia 500,000 kwa mwezi na zaidi.

3) Chini ya uongozi wa Team yangu THE EAGLES, nimefanikiwa kutoa washindi wawili wa Safari ya Dubai na Washindi wawili wa magari yenye thamani ya Milioni 28.

4) Nimefanikiwa kufungua ofisi nzuri inayojitegemea ambayo imeweza kutoa ajira kwa wengine, na inayotumika kwa ajili ya kutoa mafunzo maalum ya ujasiriamili kwa wanaojiunga na mfumo wetu

6) Kupitia mfumo huu wa Kibiashara katika Kampuni  ya BF SUMA tayari nimekua miongoni mwa walioshinda Gari (Car Awardee) kwa mwaka 2022 lenye thamani ya $12500 sawa na TZS28750000

Je umependezwa na mfumo wetu wa Kibiashara ambao utaweza kukusaidia kutatua changamoto za kiafya kwako na kwa jamii inayokuzunguka na kukuingizia kipato cha uhakika na endelevu? Kama jibu ni ndio wasiliana nami kupitia simu namba 0773731120

SHUKRAN

© 2026 MPANGO MZIMA. All Rights Reserved